Mkuu tatizo ls Nchi hii dharuls zinatengenezwa Bashe shikilia hapo hapo ili watie akili tunaviwanda zaidi ya vitano tunashindwa na Nchi yenye kiwanda kimoja Malawi?Unachelewa kuwapa vibali walioruhusiwa kisheria, unatengeneza dharula, halafu unajipa mwenyewe kibari cha uagizaji. Hapo sawa 🤣🤣
Ni kote kote, ungejua biashara ya sukari usingewatetea, hapa ni mafahali wawili yamekutana kwenye shamba moja wakaanza kuzipiga...Wanatafuta kwenye kuzalisha na siyo kuagiza sukari
Aiiiseeee!Wao kama wataalam wa sukari wako wapi mpaka sukari Tanzania inakuwa bei ya juu kuliko nchi zote zinazotuzunguka?
Wameliongelea hilo?
Sisi wafanyabiashara nia yetu ni kupata faida, hata hiyo unayoita "super profits" ikiwezekana.Nitakuwa mtu wa ajabu kuamini Ame Mpunga wa Iilovo na Seif A Seif wa Kagera/,Mtibwa ni watu Safi hawatafuti super profits na wana huruma kubwa na wananchi.
Huu ni mjadala tu wa kawaida sana ondoa hamaki.sijaelewa bado, tunazungumzia uagizaji wa sukari au ukulima wa miwa? mbona unakuwa mjinga hivi!
Na kwakukosa weredi anasema "Mimi naheshimika duniani, Mpina umenidharau" hii maanaake ni personal attack na Mpina kuzuiliwa kutoshiriki vikao 15 vya bunge ipo wazi ni kwa utashi wa speaker na si kwakuvunja sheria ya bunge.Ni hakika bila kupepesa macho, SPIKA ana mkono kwenye Sakata la Sukari.
Inakuaje Wazungu walíruhusu Msomi wa Makaratasi asiyejua kutafasiri Sheria , kua Spika??.
Ni Ngozi nyeusi au Samia ??.
Bodi walitakiwa ujuwe, unajuwa hao wote hapo kwenye hiyo bodi?Aiiiseeee!
Hili nalo ni swali la kuuliza?
Hujui mwenye dhamana na wajibu wa kusimamia maswala ya sukari na kujuwa kuwa ipo ya kutosha na kupatikana kwa bei nafuu?
Kama ulisikiliza, yaliyosemwa hapo na bado unadai hili, utakuwa una matatizo kichwani. Hili limezungumziwa.
Huku kujizima akili kabisa kwa sababu ya "ulevi" tu ni ugonjwa mbaya sana kwako.
Wewe nani kaongelea dini, kuwa dini yoyote uipendao mradi ukiwa Dubai utafata sheria za Dubai.Akili yako ni ndogo kuelewa nilicho maanisha ...mfumo wa uchumi wa dubai ni fumbo kubwa sana ....ndiyo maana dini ya dubai uwezi kuielezea kule ni dini gani ...dubai ni danguro la waarabu na pango la kuficha mali za matajiri na mafisadi kote duniani
Hivi wee akili zako zinawazaga kuua tuu? Umefundwaje eti???Hao kama China saa hizi washakula risasi za kisogo, na anaewatetea ni hivyo hivyo.
Wezi na wabadhirifu wa mali za umma ni wakuuliwa tu.Hivi wee akili zako zinawazaga kuua tuu? Umefundwaje eti???
kabisa haya ni majizi, na uzuri tunayajua na hayajaanza kuiba leo,Bodi walitakiwa ujuwe, unajuwa hao wote hapo kwenye hiyo bodi?
Tusitetee ujinga. Waloikuwa wapi mpaka sukari ifikie 10,00 kilo, hiyo ni "cartel" ya wapigaji bila huruma.
Hao kama China saa hizi washakula risasi za kisogo, na anaewatetea ni hivyo hivyo.
Kweli inaumizaMwenye full interview ya Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) aiweke hapa. Hii ya michuzi amekata pale tunapohitaji kusikia
Msomi nakupa 5.Kwa mtazamo wangu, Bashe ameshinda hii Vita, amefanikisha kumtoa nyoka pangoni. Hii ni hofu ya financial bill, Mimi sijaona hoja yenye mashiko kwao, zaidi ya kujitetea kuwa wao sio maharamia Wala so mapapa. Ila kwangu Bashe amewashika pabaya. Amepiga kwenye mshono. Bashe anatakiwa kuungwa mkono na kupewa nguvu.
Kuumia kwa mlaji wa sukari kulikojitokezamwaka huu hakumpi mama credit yeyote ila, hasa ukizingatia kuwa uchaguzi wa mwaka huu na 2025. Sitaki kuamini kuwa eti mama alihusika katika kuwatesa wanyonge vijijini.Amesema ukiona vitoto vya simba viko peke yao angalia kwanza usivivamie tuu wazazi wanaweza kuwa wapo karibu ukaumia 😄
Mkuu- kazi ya waandishi ni kuchangamnisha habari- wao walishapata lead kutoka kwa Bashe- wangekuwa weledi wangeenda kuwahoji wazalishaji kama Balozi anavyosemaMsomi nakupa 5.
Hapa kuna sehemu tatu: Serikali, Balozi na wakulima. Ukiyasikiliza maelezo ya wakulima ndio utajua mwenye tatizo ni nani? Serikali na Balozi wanatupiana mpira tu, lakini muamuzi ni mkulima.
Kifupi- Hitimisho:
1). Balozi kajikanyaga sana- Anasema huwa hatoki kwenye vyombo vya habari- hivi ni nani aliyemlazimisha atoke leo? Anasema, nyie waandishi wa habari hamjatuhoji sisi- kwanini wao wasiwaite wao na kutoa press kwa faida ya walaji- Hivi wanajihisi wao ni miungu? Balozi akajikanyaga na kusema wao wakachepusha meli ya sukari kabla ya kupata vibali, right! sasa kwanini walishindwa kuchepusha walipopata vibali? Kuna maswali mengi wanapaswa kujibu kwa faida ya walaji.
2) Serikali: Maelezo ya serikali kuwalaumu makampuni ya uzalishaji sukari hayana tija kwa mlaji. Mgongano uliopo kati ya serikali na hawa jamaa kwetu hauna faida na kuipa serikali maksi hasi. Maelezo ya serikali yanaonyesha jinsi walivyogonga mwamba katika maelewano na makampuni na kutaka kupata huruma ya wananchi. Hii si dalili nzuri
3) Wakulima wa miwa: Maelezo yao yote yanalenga katika kuwakosoa makampuni ya uzalishaji wa sukari hasa pale walipoeleza hofu yao kubwa ya kununuliwa kwa bidhaa yao ya miwa na makampuni hayo. Hili halitakiwi kutokea, makampuni lazima yachukue dhamana ya kununua miwa yoteya wakulima. Msemaji wa wakulime ameonekana kulisema hili kwa woga mkubwa, akiogopa kuwaudhi makampuni. Serikali lazima ilisimamie hili bila ya kujali kama watawaudhi makampuni au la.
Mwisho: Mimi kama mlaji mgongano wa makampuni na serikali haunipi faida yoyote. Ila kwa makampuni ni lazima yajirekebishe. Wao sio miungu watu.
Kwa mwananchi: Hili si swala la Simba na Yanga, au Mpina na Bunge ni swala la kiutendaji na linapaswa liangaliwe na kujadiliwa kiundani sana kwa kuzingatia athari zake kwa mlaji.
GEN.ZHuyo mzee hata Kama ni Balozi, Mimi ninamuona ni kilaza na Ana majivuno Sana. Anaon yeye ndio nchi, anaita wengine watoto wa Simba, Mimi ninamuona yeye ndio mtoto wa Simba ambae hataki aguswe, labda yeye ndio atuambie mama yake yupo wapi, ama yeye amekuwa Simba yatima.
Anakataa kuwa wao hawaja unda Cartel, anadhani sisi hatujui Nini Cartel na inaundwa kwa ajili gani. Kwani wao TSPA na OPEC wanatofauti gani. Wote Hawa wametengeneza hizo Cartel ili kupunguza market competition na ku win supernormal profit in expence of consumers, ambao ni sisi Watanzania.
Hizi Cartels huwa hawapendi kuwe na sellers au producers wengi kwa sababu wahataweza ku monopolise Bei ya soko. Hawa huwa Wana kubaliana kupunguza uzalishaji kwa makusudi ili kupata supernormal profit. Awe Barkheresa Mo au mwingine yeyote, lengo lao namba moja ni profit maximization na sio uzalendo. Ni uongo mkubwa. Huyo mzee hata Kama ni Balozi Ila anahitaji kubadilika.
musema wana chama chao kinaitwa TSPA tayari hiyo ni cartel, au atuambie nini maana ya cartelHuyo mzee hata Kama ni Balozi, Mimi ninamuona ni kilaza na Ana majivuno Sana. Anaon yeye ndio nchi, anaita wengine watoto wa Simba, Mimi ninamuona yeye ndio mtoto wa Simba ambae hataki aguswe, labda yeye ndio atuambie mama yake yupo wapi, ama yeye amekuwa Simba yatima.
Anakataa kuwa wao hawaja unda Cartel, anadhani sisi hatujui Nini Cartel na inaundwa kwa ajili gani. Kwani wao TSPA na OPEC wanatofauti gani. Wote Hawa wametengeneza hizo Cartel ili kupunguza market competition na ku win supernormal profit in expence of consumers, ambao ni sisi Watanzania.
Hizi Cartels huwa hawapendi kuwe na sellers au producers wengi kwa sababu wahataweza ku monopolise Bei ya soko. Hawa huwa Wana kubaliana kupunguza uzalishaji kwa makusudi ili kupata supernormal profit. Awe Barkheresa Mo au mwingine yeyote, lengo lao namba moja ni profit maximization na sio uzalendo. Ni uongo mkubwa. Huyo mzee hata Kama ni Balozi Ila anahitaji kubadilika.
Kabisa hiyo ni Cartel, ndio hoja yangu hapo. Wao ni sawa tu na OPEC na wanafanya Yale Yale ya OPEC, Wana cutt production ili kutengeneza shortage na kuongeza Bei kupata supernormal profit. Ni Yale Yale waarabu wanafanya kwenye mafuta.musema wana chama chao kinaitwa TSPA tayari hiyo ni cartel, au atuambie nini maana ya cartel