Huyo mzee hata Kama ni Balozi, Mimi ninamuona ni kilaza na Ana majivuno Sana. Anaon yeye ndio nchi, anaita wengine watoto wa Simba, Mimi ninamuona yeye ndio mtoto wa Simba ambae hataki aguswe, labda yeye ndio atuambie mama yake yupo wapi, ama yeye amekuwa Simba yatima.
Anakataa kuwa wao hawaja unda Cartel, anadhani sisi hatujui Nini Cartel na inaundwa kwa ajili gani. Kwani wao TSPA na OPEC wanatofauti gani. Wote Hawa wametengeneza hizo Cartel ili kupunguza market competition na ku win supernormal profit in expence of consumers, ambao ni sisi Watanzania.
Hizi Cartels huwa hawapendi kuwe na sellers au producers wengi kwa sababu wahataweza ku monopolise Bei ya soko. Hawa huwa Wana kubaliana kupunguza uzalishaji kwa makusudi ili kupata supernormal profit. Awe Barkheresa Mo au mwingine yeyote, lengo lao namba moja ni profit maximization na sio uzalendo. Ni uongo mkubwa. Huyo mzee hata Kama ni Balozi Ila anahitaji kubadilika.