Endelea tu kutowajuwa.hao watu mimi siwajui. na kama huwezi kujibu na kuendelea kuni'quote', unajuwa ni nini kitafuata. Huwa sina simile na upumbavu.
Naelewa kuwa wewe ni 'mlevi', kwa hiyo nitaendele nawe hapa kama mlevi.Endelea tu kutowajuwa.
"cartel" imepigwa kabari na Hussein Bashe na sheria mpya ya manunuzi ya sukari imepitishwa na bunge.
Unalielewa hilo?
Mlevi kuliko Ame?Naelewa kuwa wewe ni 'mlevi', kwa hiyo nitaendele nawe hapa kama mlevi.
Kamuulize mwenyewe, kama ni mlevi mwenzio.Mlevi kuliko Ame?
Muulize Ame na mpina.Aliye agiza hiyo sukari ni nani, na kapatikana kwa njia zipi. Anzia hapo. Hilo swali pekee hamtaki kulijibu.
Actually' unanipotezea muda tu na vimaneno vyako mshenzi hivi hapa. Kuna ya muhimu zaidi kujadili zaidi ya upuuzi huu.
Bashe kishaiuwa "cartel" ya ununuzi wa sukari na sheria imepita bungeni.Kamuulize mwenyewe, kama ni mlevi mwenzio.
Unanihusisha na huyo kilaza, ambaye hana tofauti yoyote na huyo Bashe; ndiyo maana nakuona wewe kama umepungukiwa hivi.Bashe kishaiuwa "cartel" ya ununuzi wa sukari na sheria imepita bungeni.
Siyo poyoyo huyo anakuja kudanganya eti walikosa meli. Mwambie Ame amuulize aliyeileta sukari kwa haraka sana, aliipata wapi meli?
Bashe kavunja "cartel" ya hao usiowajuwa.Unanihusisha na huyo kilaza, ambaye hana tofauti yoyote na huyo Bashe; ndiyo maana nakuona wewe kama umepungukiwa hivi.
Hilo la "meli" nililiandikia palepale baada ya kulisikia likitajwa.hakuna nafuu kwa majizi, iwe ni serikali, au huko kwingine.
Hili la sukari hata ungetumia 'Jik', Bashe na 'Chura Kiziwi' hawasafishiki.Bashe kavunja "cartel" ya hao usiowajuwa.
Unaelewa kuwa sasa Tanzania tuna "surplus" ya mahindi. Na baada ya miaka miwili tutakuwa na "surplus" ya sukari?
Ukitaka kulima mwajiri Msomali.
"Msomali" ni Jizi, na huyo anaye m-'promote' hata hajui alisemalo.Ukitaka kulima mwajiri Msomali
Huna jipya.Hili la sukari hata ungetumia 'Jik', Bashe na 'Chura Kiziwi' hawasafishiki.
Unajuwa kuwa sasa hivi mahindi yanauzwa kwa nidhamu kwa kuhesabika na takwimu?"Msomali" ni Jizi, na huyo anaye m-'promote' hata hajui alisemalo.
Hata uimbe nyimbo milioni moja, hazitaondoa ujambazi unaofanywa na serikali ya 'Chura Kiziwi' na genge lake.Huna jipya.
Sukari imeshuka bei na "cartel" imauliwa.
Mpina kabamizwa aliyekuwa anaitetea "cartel".
Watanzania wanafaidi sukari bei chini na itaendelea kushuka.
Unagfahamu kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania sukari inaanza kuwekwa kwenye akiba ya chakula ya taifa?
+Mambo ya Mama Samia na Waziri bora kabisa wa kilimo Hussein Bashe.
Hili nalo ni jambo la ajabu na kujivunia?Unajuwa kuwa sasa hivi mahindi yanauzwa kwa nidhamu kwa kuhesabika na takwimu?
Mambo ya Mama Samia na waziri wake boira kabisa wa kilimo kuwahi kutokea Tanzania, Hussein Bashe Al Somali.
Bashe amewararua, ndio maana Sasa munatumia nguvu nyingi mpaka kufikia kuhoji uraia wake.Usijipe moyo Mr. Bashe 🤣