FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Endelea tu kutowajuwa.hao watu mimi siwajui. na kama huwezi kujibu na kuendelea kuni'quote', unajuwa ni nini kitafuata. Huwa sina simile na upumbavu.
"cartel" imepigwa kabari na Hussein Bashe na sheria mpya ya manunuzi ya sukari imepitishwa na bunge.
Unalielewa hilo?