Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje
hao watu mimi siwajui. na kama huwezi kujibu na kuendelea kuni'quote', unajuwa ni nini kitafuata. Huwa sina simile na upumbavu.
Endelea tu kutowajuwa.

"cartel" imepigwa kabari na Hussein Bashe na sheria mpya ya manunuzi ya sukari imepitishwa na bunge.

Unalielewa hilo?
 
Aliye agiza hiyo sukari ni nani, na kapatikana kwa njia zipi. Anzia hapo. Hilo swali pekee hamtaki kulijibu.

Actually' unanipotezea muda tu na vimaneno vyako mshenzi hivi hapa. Kuna ya muhimu zaidi kujadili zaidi ya upuuzi huu.
Muulize Ame na mpina.
 
Kamuulize mwenyewe, kama ni mlevi mwenzio.
Bashe kishaiuwa "cartel" ya ununuzi wa sukari na sheria imepita bungeni.

Siyo poyoyo huyo anakuja kudanganya eti walikosa meli. Mwambie Ame amuulize aliyeileta sukari kwa haraka sana, aliipata wapi meli?
 
Unanihusisha na huyo kilaza, ambaye hana tofauti yoyote na huyo Bashe; ndiyo maana nakuona wewe kama umepungukiwa hivi.
Hilo la "meli" nililiandikia palepale baada ya kulisikia likitajwa.hakuna nafuu kwa majizi, iwe ni serikali, au huko kwingine.
 
Bashe kavunja "cartel" ya hao usiowajuwa.

Unaelewa kuwa sasa Tanzania tuna "surplus" ya mahindi. Na baada ya miaka miwili tutakuwa na "surplus" ya sukari?

Ukitaka kulima mwajiri Msomali.
 
Hili la sukari hata ungetumia 'Jik', Bashe na 'Chura Kiziwi' hawasafishiki.
 
Huna jipya.

Sukari imeshuka bei na "cartel" imauliwa.

Mpina kabamizwa aliyekuwa anaitetea "cartel".

Watanzania wanafaidi sukari bei chini na itaendelea kushuka.

Unagfahamu kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania sukari inaanza kuwekwa kwenye akiba ya chakula ya taifa?
+Mambo ya Mama Samia na Waziri bora kabisa wa kilimo Hussein Bashe.
 
"Msomali" ni Jizi, na huyo anaye m-'promote' hata hajui alisemalo.
Unajuwa kuwa sasa hivi mahindi yanauzwa kwa nidhamu kwa kuhesabika na takwimu?

Mambo ya Mama Samia na waziri wake boira kabisa wa kilimo kuwahi kutokea Tanzania, Hussein Bashe Al Somali.
 
Huna jipya.

Sukari imeshuka bei na "cartel" imauliwa.

Mpina kabamizwa aliyekuwa anaitetea "cartel".

Watanzania wanafaidi sukari bei chini na itaendelea kushuka.

Unagfahamu kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania sukari inaanza kuwekwa kwenye akiba ya chakula ya taifa?
+Mambo ya Mama Samia na Waziri bora kabisa wa kilimo Hussein Bashe.
Hata uimbe nyimbo milioni moja, hazitaondoa ujambazi unaofanywa na serikali ya 'Chura Kiziwi' na genge lake.

Ni swala la muda tu sasa.
 
Unajuwa kuwa sasa hivi mahindi yanauzwa kwa nidhamu kwa kuhesabika na takwimu?

Mambo ya Mama Samia na waziri wake boira kabisa wa kilimo kuwahi kutokea Tanzania, Hussein Bashe Al Somali.
Hili nalo ni jambo la ajabu na kujivunia?
Naona hata kuokoteza vimifano vya kutia matumaini kwenu kunakuwa kwa shida sana!
 
Back
Top Bottom