Wewe bibi muda mwingine uwe unaficha Ujinga wakoMpaka sasa nimewasikiliza jwa dakika 30, naendelea kuwasikiliza lakini cha kusikifisha wanaongelea siasw na porojo nyingi. Kuwa "watazalisha" sukari ya kutosha kuanziq mwaka huu.
Pambaf kabisa, walikuwa wapi siku zote mpaka Bashe kaja kuwatia vidole vya masikio ndiyo wanasikia kuwa Watanzania wameathiriwa na bei za sukari?
Hawa wazalishaji hawatakiwi kutupigia porojo, wanatakiwa wazalishe sukari ishuke bei.
Ujinga mtupu.
Hao wengine wote hawajapendewzewa mwendazake alivyompa shamba Bakhresa.Asee unamponda hadi ami Bahalesa kweli ustaadhat
😀😀kwahio hapo ni wakina kilombero na wenzake mtibwa na kagera sio☻Hao wengine wote hawajapendewzewa mwendazake alivyompa shamba Bakhresa.
Bakhresa hayupo kabisa katika ujinga wao hao.
Unafahamu kuwa sukari anayozalisha Bakhresa mpaka sasa hata yeye mwenyewe kwa matumizi ya viwanda vyake haimtoshi?
Hapo hao wanajitetea kijinga tu, porojo nyingi sana. Wengine hapo wanajijuwa kibarua kimeota mbawa.😀😀kwahio hapo ni wakina kilombero na wenzake mtibwa na kagera sio☻
Mbona wamesema hapo kwenye video kwamba Bagamoyo Sugar kiwanda cha Bakhresa ameongeza hekari 5000 za mashamba ya miwa kuongeza uzalishaji na kaongeza mitambo (kawekeza) zaidi?Hao wengine wote hawajapendewzewa mwendazake alivyompa shamba Bakhresa.
Bakhresa hayupo kabisa katika ujinga wao hao.
Unafahamu kuwa sukari anayozalisha Bakhresa mpaka sasa hata yeye mwenyewe kwa matumizi ya viwanda vyake haimtoshi?
Nilidhani ni mimi nimeona hilo hii clip imechakachuliwa sanaHuyu mzee namfahamu sana kama balozi na nguli wa diplomasia.
Ameeleza uzuri mambo mengi ambayo watanzania wengi hawayafahamu.
Ila hii video imechakachuliwa kwenye dakika ya 6 pale anapozungumzia udhibiti wa sukari ulianza rasmi lini.
Hapo Michuzi ameharibu na hii yazidi kunithibitishia mashaka na uadilifu wa hawa watu wa media ya Tanzania.
Hakuna shida kuleta sukari nchini isipokuwa sheria ya uagizaji sukari kutoka nje ifuatwe na waagizaji wawe ni wale wenye viwanda nchini, period,Hapo hao wanajitetea kijinga tu, porojo nyingi sana. Wengine hapo wanajijuwa kibarua kimeota mbawa.
Wananchi wanataka kuona sukari inapatikana na bei inashuka, ndiyo lugha pekee wanayoifahamu.
Acha tuone hadi 2025 tutajua lugha nyingiHapo hao wanajitetea kijinga tu, porojo nyingi sana. Wengine hapo wanajijuwa kibarua kimeota mbawa.
Wananchi wanataka kuona sukari inapatikana na bei inashuka, ndiyo lugha pekee wanayoifahamu.
Hiyo Sukari imeshuka kwa shilingi ngapi ?Naona umekosa hoja unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
mada hapa siyo FaizaFoxy, mada ni sukari.
Waandishi wengi wa habari wa Tanzania sasa hivi imekuwa "worse" nao wamekuwa chawa wa kutupwa.Nilidhani ni mimi nimeona hilo hii clip imechakachuliwa sana
Huyu mzee namfahamu sana kama balozi na nguli wa diplomasia.
Ameeleza uzuri mambo mengi ambayo watanzania wengi hawayafahamu.
Ila hii video imechakachuliwa kwenye dakika ya 6 pale anapozungumzia udhibiti wa sukari ulianza rasmi lini.
Hapo Michuzi ameharibu na hii yazidi kunithibitishia mashaka na uadilifu wa hawa watu wa media ya Tanzania.
Hili ndo tatizo tulo nalo.Michuzi mtu wa ikulu usitegemee afanye vitu tofauti na sirikali.
"Tusifate huu uzembe, ucheleweshaji" baada ya kusubiriHali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya kilombero sugar kutema cheche
View: https://youtu.be/6MEvRMkDrW0?si=rgGZ18xvLqC57ii2
Wanasiasa wengi wapo out of touch na wananchi ambao ndo waajiri wao.Video kuna sehemu imekatwakatwa, nimeishia dk ya 10+ inatosha kuonesha kuna uhuni ulifanyika. Sasa yule rango ilikuwaje akamuhukumu yule jamaa kihuni huni vile.
Kulinda kwetu amani, viongozi wanatuona mapoyoyo kabisa, kumbe sivyo.
Huyu hato resign atashughukiwa kama mhaini au mhujumu uchumi!Hili suala limenifanya nimkumbuke spika wa Bunge la Marekani Newt Gingrich.
Mkuu naona umeniacha kidogo, wamzungumzia Mpina au Dr Tulia?Huyu hato resign atashughukiwa kama mhaini au mhujumu uchumi!
Atasepeshwa na cartel anayoitetea!!