Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje
Mpaka sasa nimewasikiliza jwa dakika 30, naendelea kuwasikiliza lakini cha kusikifisha wanaongelea siasw na porojo nyingi. Kuwa "watazalisha" sukari ya kutosha kuanziq mwaka huu.

Pambaf kabisa, walikuwa wapi siku zote mpaka Bashe kaja kuwatia vidole vya masikio ndiyo wanasikia kuwa Watanzania wameathiriwa na bei za sukari?

Hawa wazalishaji hawatakiwi kutupigia porojo, wanatakiwa wazalishe sukari ishuke bei.

Ujinga mtupu.
Wewe bibi muda mwingine uwe unaficha Ujinga wako
 
Hao wengine wote hawajapendewzewa mwendazake alivyompa shamba Bakhresa.

Bakhresa hayupo kabisa katika ujinga wao hao.

Unafahamu kuwa sukari anayozalisha Bakhresa mpaka sasa hata yeye mwenyewe kwa matumizi ya viwanda vyake haimtoshi?
😀😀kwahio hapo ni wakina kilombero na wenzake mtibwa na kagera sio☻
 
Hao wengine wote hawajapendewzewa mwendazake alivyompa shamba Bakhresa.

Bakhresa hayupo kabisa katika ujinga wao hao.

Unafahamu kuwa sukari anayozalisha Bakhresa mpaka sasa hata yeye mwenyewe kwa matumizi ya viwanda vyake haimtoshi?
Mbona wamesema hapo kwenye video kwamba Bagamoyo Sugar kiwanda cha Bakhresa ameongeza hekari 5000 za mashamba ya miwa kuongeza uzalishaji na kaongeza mitambo (kawekeza) zaidi?

Na pia wamesema sasa hivi kuna viwanda 7 vikubwa nchi nzima.

Hivi wafahamu hivi viwanda vya sukari haviendeshwi na waswahili (wapigaji)?

Kuna watu wamesoma uzuri tu wameajiriwa huko.
 
Huyu mzee namfahamu sana kama balozi na nguli wa diplomasia.

Ameeleza uzuri mambo mengi ambayo watanzania wengi hawayafahamu.

Ila hii video imechakachuliwa kwenye dakika ya 6 pale anapozungumzia udhibiti wa sukari ulianza rasmi lini.

Hapo Michuzi ameharibu na hii yazidi kunithibitishia mashaka na uadilifu wa hawa watu wa media ya Tanzania.
Nilidhani ni mimi nimeona hilo hii clip imechakachuliwa sana
 
Hapo hao wanajitetea kijinga tu, porojo nyingi sana. Wengine hapo wanajijuwa kibarua kimeota mbawa.

Wananchi wanataka kuona sukari inapatikana na bei inashuka, ndiyo lugha pekee wanayoifahamu.
Hakuna shida kuleta sukari nchini isipokuwa sheria ya uagizaji sukari kutoka nje ifuatwe na waagizaji wawe ni wale wenye viwanda nchini, period,

Sasa mwenye kuuza stationaries aendelee na biashara ya stationaries ok?

Wenye viwanda wana sourse ya suppliers na wana uzoefu na uhakika wa kupata sukari bora na salama.

Wapigaji hawana source ya suppliers uzoefu na pia wanaweza ingiza nchini sukari iso bora na salama kwa matumizi ya binadamu, period.
 
Huyu mzee namfahamu sana kama balozi na nguli wa diplomasia.

Ameeleza uzuri mambo mengi ambayo watanzania wengi hawayafahamu.

Ila hii video imechakachuliwa kwenye dakika ya 6 pale anapozungumzia udhibiti wa sukari ulianza rasmi lini.

Hapo Michuzi ameharibu na hii yazidi kunithibitishia mashaka na uadilifu wa hawa watu wa media ya Tanzania.

Michuzi mtu wa ikulu usitegemee afanye vitu tofauti na sirikali.
 
Video kuna sehemu imekatwakatwa, nimeishia dk ya 10+ inatosha kuonesha kuna uhuni ulifanyika. Sasa yule rango ilikuwaje akamuhukumu yule jamaa kihuni huni vile.

Kulinda kwetu amani, viongozi wanatuona mapoyoyo kabisa, kumbe sivyo.
 
Wanasiasa wengi wapo out of touch na wananchi ambao ndo waajiri wao.

Wameamua kuwatumia wananchi haohao kuwa mitaji ya upigaji wao.

Huwezi kuvunja sheria ya sukari kwa kumpa muuza vifaa vya ofisi zabuni ya kuagiza sukari, tena wampa kibali karibu na muda wa kuagiza sukari hiyo kwisha.

Mwisho wa kuagiza sukari kutoka nje ilikuwa ni mwezi Mei 2024.

Ndo maana askofu Bagonza kasema wanasiasa hawa waulizwe na wapiga kura wao wamefanya nini kwenye majimbo yao ifikapo wakati wa kampeni.
 
Back
Top Bottom