Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Wapinzani wenyewe bungeni hawapo wataweza kuwatetea kivipi? Serikali iliyopo madarakani ni kama Serikali ya chama kimoja hakuna Wapinzani ndani ya bunge. Munatakiwa Wananchi wenyewe mujitetee kudai haki zenu sio kungojea vyama vya upinzani kuwatetea haki zenu viongozi waliopo madarakani wengi wao ni mafisadi wanajinufaisha matumbo yao hawajali walala hoi Wananchi amkeni teteni haki zenu mutazipata. Mukinyamaza kimya hamtapata haki zenu kabisa.Wapenda nchi upinzaji wananunuliwa na CCM kuupunguzia upinzani nguvu hapo wananchi watafanya nini. Watetezi wao wanavunjwavunjwa na watesi kuongezeka