Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kama wazalishaji wameshindwa kuzalisha kwa bei ya chini hakuna haja ya kuendelea kuwalinda. Na kuwapa wao tu vibali vya kuagiza ni kuwakosea wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo hata wewe hujaonyesha ushindi wa Bashe kwa hoja walizoziibua. Wamesema waliitaadharisha serikali juu ya upungufu wa sukari mara mbili,na hawakujibiwa. Pia wao ni wazalishaji wa sukari na siyo wanunuzi. Sasa unawapaje jukumu la kuagiza sukari?Kwa mtazamo wangu, Bashe ameshinda hii Vita, amefanikisha kumtoa nyoka pangoni. Hii ni hofu ya financial bill, Mimi sijaona hoja yenye mashiko kwao, zaidi ya kujitetea kuwa wao sio maharamia Wala so mapapa. Ila kwangu Bashe amewashika pabaya. Amepiga kwenye mshono. Bashe anatakiwa kuungwa mkono na kupewa nguvu.
Hizo 'dots' za kuunganisha ziko wapi?Huwezi kuelewa kwa sababu unaangalia juu juu tu. Ni lazima uunganishe dots ili uelewe!
Kwenye mfumo wa upigaji sukari haikaguliwi na TBS au ikikaguliwa paperwork huchakachuliwa.inamaana sukari ikiingia haita kaguliwa na shirika la viwango nchini (Tbs)?
Katoka Simba kwenda Yanga. EEEeeeennHEEeeeeeE!Watanzania wanajadili uhamisho wa Mchungaji Msigwa
Mkuu, usiongee bora umeongea tu, bila shaka umesikiliza video mpaka mwisho ingawa imechakachuliwa.Namheshimu sana Balozi Ammy Mpugwe, anadai amekuwa kwenye tasnia ya sukari akiwa na miaka 10 sasa ana miaka 76, kuna wakulima elfu 80 na elfu kumi wana mashamba, obvious elfu 70 ni manamba,
sasa, sasa miaka hamsini ya kilombero suger still we are importing suger? yet we are exporting suger on smaggling way based on economic osmosis!
anasema yeye hauzi vocha that means he is a gianty man. why are we still buying suger from brazil yet suger hii is cheaper than from his home land kilombero?
lakini, how is the man credible to our socity? ammy huyu wa tanzania one? huyu ammy wa capital mining? no no no, hapana kabisa.
HApa umefafanua vizuri, na inaonesha uko na uelewa kuhusiana na masuala ya sekta ya sukariInabidi uwasikilize kwa makini wao wanajibu hoja tu ya kuitwa ‘cartel na maharamia’ na kuzushiwa kama chanzo cha uhaba wa sukari nchini.
Wakati si kweli wao ndio chanzo cha uhaba wa sukari, kwa sababu wanafanya risk assessment zao. If anything wao ndio waliona disruption inayofuata kwenye uzalishaji mara tu baada mamlaka ya hali hewa kutangaza El-Nino walianza kuomba vibali toka mwezi wa kumi na kutokupewa hadi January, ata hiyo tonne 4.5 walioleta ilkuwa gamble tu kufanya hivyo hawakuwa na kibali ila waliona madhara ya mbele kutokana na diminishing stock level zao.
They don’t care much nani ameingiza au akuagiza sukari kwa wakati ila hawataki wazushiwe wao kama chanzo cha uhaba.
NFRA wanapewa kibali cha kuagiza sukari wakati TSPA production capacity plan yao ya 2024~2025 kutakuwa hakuna na nakisi, na 2025~2026 wataanza kuwa na ziada ya tone 150K na kuweza kuuza nje ya nchi kwa uwekezaji waliofanya na unaoendelea kufanyika kwenye viwanda vyote nchini.
NFRA hiyo sukari yote wataipeleka wapi, ni sawa kuwa na three months buffer stock (incase inatokea unforeseen disruption) ila hizo tonne łąki mbili sijui łąki nne wanazotaka kuagiza watazipeleka wapi kama sio kujaza sukari sokoni (kwa kuchezea hela za walipa kodi) na kuleta madhara kwa wazalishaji wa ndani wenye high production costs na kwa umoja wao wana madeni ya karibu tsh 3.5 trillion ya uwekezaji waliofanya karibuni. Sasa ukishaleta hayo madhara na madeni waliyonayo si wanaenda pata hasara.
Shida ni Bashe hapo, sio tu kutoa vibali hovyo bali kuwatukana na kuwasingizia TSPA ni genge la wahuni lililosababisha tatizo wakati kuna fair competition regulator anaeangalia oligopoly kama ipo na kuchukua hatua, mbona sasa asiende report huko kama wana operate kama cartel.
ilikuwa imeisha muda wake wa matumizi.Huyo metl aliwahi kuleta sukari ya kk ambayo baadae iluzuiwa.
Shida ya kuruka stages katika ukuaji katika kazi. Kuna nafasi kama ulivyoeleza Zina hitajika experience na maturity baada ya kupitia changamoto mbalimbali na kuweza ku solve...Sasa wewe una kimbizwa kama mgonjwa na ambulance mpaka highest level unadhani Itakuaje?niko kazini sina earphone, kasema nini huyu mwamba ? Tatizo Spika Tulia bunge haliwezi.
Tofauti ya Tulia na kina Mkwawa, Msekwa, Sitta, Makinda ni kwamba wale
1/ hawakupewa U-Spika na mamlaka za nchi
2/ walitokea sehemu nzito serikalini ambako walishajijengea heshima na hivyo hawakuiogopa serikali
Ndugai hakutokea serikalini lakini alishakaa bungeni miaka lukuki kabla, marais wa nchi kanywa nao chai maandazi kantini za viunga vya bunge, alishajijengea hadhi, uhuru na uwezo japo kiasi, na Uspika alipendekezwa na wabunge wenzie, hivyo hakujiona kama ni zao au kijakazi cha serikali kivile.
Tulia kaokotwa jalalani chuo kikuu, kalala mwalimu, masikini kapuku, kaamka spika wa nchi ya watu milioni 60. Kwa hiyo ni mnyenyekevu, mjipendekezi, obsequious, lap dog, mbwa wa mapajani, wa mamlaka zilizomtoa jalalani, ana deni. Ndio maana anachemka. Hata taaluma ya sheria kaweka pembeni.
Mpina kamchambua uwezo wake mdogo wa kisheria, kasema kifungu alichotumia Spika kum punish kimeandikwa ni sheria ya vyombo vya habari vinapo cover bunge, sio mbunge anapoongea mitaani. Na Tulia alipojisikia kakosewa na Mpina, alipaswa kumuachia Azzan Zungu ndio aseme Mpina apelekwe Kamati au apeteshwe. Lakini Tulia akasoma mpaka na hukumu ambayo Mpina anapaswa kupewa akikutwa na hatia, kabla hata ya kamati kukaa. Tulia Ackson is worst speaker in history of the legislature.
Labda hicho ndicho alichopewa Ili atetee hayo je, nimewaza tu Kwa sauti...Mambo mengi nchi hii muda mchache!Labda cheo cha IPU chaweza kumuokoa.
Binti wa Loleza girls.
Unadhani ni nani awajobishwe?Kwann mnamwonea bashe?tulikuwa hatuwasikii mawaziri wa kilimo ni km hyo wizara haipo,leo iko kwa bashe mnatupia mawe. why? huyu jamaa ni mchapakaz napia ni hodari.bashe piga kazi wache wapige kelele watanyamaza
Wameshindwa kumdhibiti ama?Ami na Mkapa ndio wamemtengeneza huyo CIA Aziz ndio sababu anamuita Muuza voucher 😂😂😂
naona bashe unajichatisha...mnajua kabisa mlizoea piga ela kirahisi kwa kutoa vibali...now mmepigwa chembe mmekua wadogoKwann mnamwonea bashe?tulikuwa hatuwasikii mawaziri wa kilimo ni km hyo wizara haipo,leo iko kwa bashe mnatupia mawe. why? huyu jamaa ni mchapakaz napia ni hodari.bashe piga kazi wache wapige kelele watanyamaza