Wapenda nchi upinzaji wananunuliwa na CCM kuupunguzia upinzani nguvu hapo wananchi watafanya nini. Watetezi wao wanavunjwavunjwa na watesi kuongezeka
Wapinzani wenyewe bungeni hawapo wataweza kuwatetea kivipi? Serikali iliyopo madarakani ni kama Serikali ya chama kimoja hakuna Wapinzani ndani ya bunge. Munatakiwa Wananchi wenyewe mujitetee kudai haki zenu sio kungojea vyama vya upinzani kuwatetea haki zenu viongozi waliopo madarakani wengi wao ni mafisadi wanajinufaisha matumbo yao hawajali walala hoi Wananchi amkeni teteni haki zenu mutazipata. Mukinyamaza kimya hamtapata haki zenu kabisa.
 
Ni hakika bila kupepesa macho, SPIKA ana mkono kwenye Sakata la Sukari.


Inakuaje Wazungu walíruhusu Msomi wa Makaratasi asiyejua kutafasiri Sheria , kua Spika??.

Ni Ngozi nyeusi au Samia ??.

Balozi ametuasa kuwa tukiona vitoto vya Simba vinacheza porini basi tujiulize kwanza baba na mama yao wako wapi?
 
Ami Mpungwe, dalali wa mabepari anadhani anaishi zama zile za Mkapa.Ami Mpungwe ndiye alikuwa Kuwadi wa soko huria, akianzia mgodi wa Tanzanite. Hiki kizazi kingine, aangalie sana hizo sharubu zake. Tunajua ana hisa Kiwanda cha kilombero ambacho mzee Mkapa ana kashfa ya kukinunua
 
Namheshimu sana Balozi Ammy Mpugwe, anadai amekuwa kwenye tasnia ya sukari akiwa na miaka 10 sasa ana miaka 76, kuna wakulima elfu 80 na elfu kumi wana mashamba, obvious elfu 70 ni manamba,

sasa, sasa miaka hamsini ya kilombero suger still we are importing suger? yet we are exporting suger on smaggling way based on economic osmosis!

anasema yeye hauzi vocha that means he is a gianty man. why are we still buying suger from brazil yet suger hii is cheaper than from his home land kilombero?

lakini, how is the man credible to our socity? ammy huyu wa tanzania one? huyu ammy wa capital mining? no no no, hapana kabisa.
 
Huyo aliesemwa ni baba wa watoto wa simba kwenye uagizaji wa sukari ni nani?
Anayemjua anisaidie kuelewa!
hoja ya kipuuzi sana kuongelewa na mtu mwenye heshima, kuwa yeye ni mtoto wa simba kuna simba yuko kichakani, tena kuna jike pia, obvious linalembua macho pia, waliagia sukari pasi kujua watauza wapi wasipopewa kibali obvious lioness alimwambia we keta wasitubabaishe
 
Bashe ni mwizi kilichofanyika kwenye hilo dili ni ufisadi
 
Huyo metl aliwahi kuleta sukari ya kk ambayo baadae iluzuiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…