Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hiv juzi kasema ana mingapiWolper ni kama ana 32 hivi, lakini ukimuuliza atakwambia ana miaka 26
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiv juzi kasema ana mingapiWolper ni kama ana 32 hivi, lakini ukimuuliza atakwambia ana miaka 26
Wakati anapata majanga ya kanumba 2012 si walisema ana 18?Lulu ni Agemate wangu tumekuwa wote yule ana 21 akizidi sana 22 basi .
Alizaliwa 1979. Ipo wikipedia hio rekodi. At least Jay D hafichi umri kama Wema SepengaLady jay dee anakosa 40 kweli?
37/38 sikumbuki vzr alisema mwnywe!!
!
The bosslady wa madale itahitajika carbon fourteen. Anaweza kuwa na karne
Sio kweli hato maneno. Wema alikua miss Tanzania kunako 2006. Na sheria ya miss Tanzania mhusika lazima awe na miaka 18 mlaka 24. Kumbukumbu zinaonesha Wema alipata u miss akiwa na miaka 20. Ukiongeza na hii 11 (2017-2006=11) kwa sasa ana 31, akielekea 32. Kwa mwanamke huu umri si habaApparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula
Jokes kama hizi zinatusaidia ucheshi na kupunguza stress za kaziWatanzania banah, hivi hamna vitu vya kufanya... Nimeona huu uzi nikasema lazima nitie neno, watu mngekua busy msingekua busy kuleta ujinga huu... Kweli wewe zero iQ...
Umeonaeeh ila kila siku anasherehekea miaka 28Sio kweli hato maneno. Wema alikua miss Tanzania kunako 2006. Na sheria ya miss Tanzania mhusika lazima awe na miaka 18 mlaka 24. Kumbukumbu zinaonesha Wema alipata u miss akiwa na miaka 20. Ukiongeza na hii 11 (2017-2006=11) kwa sasa ana 31, akielekea 32. Kwa mwanamke huu umri si haba
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji86]Kasema ana miaka 24
Huwa nashindwa kuelewa jitu zima kusimama kwa hoja za mange.Kuna vitu viko waz kabisa lkn mtu atakuambia ooh mange alisemaMange kazuia watu kufikri kabisa. Watu wanagopa hata kuwa acurate kwa fikra zao hadi wadokoe kwa mange. Tunasubiri afikiri ili tufikiri...... Hahahahhaaaaaa
37/38 sikumbuki vzr alisema mwnywe!
Yuko sawa na da mange[emoji23]