Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Umri Elekezi wa Mastaa wote Wa Bongo..!

Apparently wema sepetu ni 26 or 27 hivi .. i rem mange kimambi saying she lied about her age lool.. lets say she aged fast kutokana na maisha anayo ishi ndo kimemzeesha mapema pengine na vyakula
Sio kweli hato maneno. Wema alikua miss Tanzania kunako 2006. Na sheria ya miss Tanzania mhusika lazima awe na miaka 18 mlaka 24. Kumbukumbu zinaonesha Wema alipata u miss akiwa na miaka 20. Ukiongeza na hii 11 (2017-2006=11) kwa sasa ana 31, akielekea 32. Kwa mwanamke huu umri si haba
 
Umeonaeeh ila kila siku anasherehekea miaka 28
 
37/38 sikumbuki vzr alisema mwnywe!
Yuko sawa na da mange[emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji116] [emoji116]
Siyo kwa sura ile anaweza kufika ata 50 yule
 
Mange kazuia watu kufikri kabisa. Watu wanagopa hata kuwa acurate kwa fikra zao hadi wadokoe kwa mange. Tunasubiri afikiri ili tufikiri...... Hahahahhaaaaaa
Huwa nashindwa kuelewa jitu zima kusimama kwa hoja za mange.Kuna vitu viko waz kabisa lkn mtu atakuambia ooh mange alisema
 
Ivi mtangazaji SAIGONI wa EATV wa kipindi cha Hip Hop kwa kipindi kile hatakuwa na miaka mingapi na sasa hivi yupo wapi? Sijui
 
Back
Top Bottom