Mama Yeyoo
Senior Member
- Mar 25, 2012
- 101
- 38
umri mzuri kumtahiri mtoto ni kuanzia miaka mitatu na kuendelea.hii ya sasa ya mtoto kuzaliwa na kumkimbizia visu ni kutojua madhara yake
Mi nina 26 years bado cjatahiriwa....
Kuwahi kutahiri na hizo imani ni vitu wiwili tofauti...
Biblia inasema mtoto atahiriwe ndani ya siku 14... lakini ni vizuri akitahiriwa at least akiwa na miezi mitatu.... Hii itasaidia sana kwa sababu watoto wa kiume mara nyingi huugua sana UTI especially akianza kutambaa, na pia kwa umri huo anapona haraka sana, 7 days anakuwa amepona.
Jamani naomba kuuliza umri mzuri wa kutairi mtoto wa kiume ni upi?
asanteni