Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Mm nmetahili na miaka 19,hapo miaka ya nyuma Nina hisia .maumivu daaa,so safi atahili akiwa mdogo,
 
Kwahiyo ulimkagua ukaona hana
Yaani kipnd naandika ili kuchangia hii mada nilitegemea kukutana na na swali kama hili lako.
Huyo ni mdogo wangu, nmeishi naye na amekua mikononi mwangu, tumeishi chumba kimoja mpaka tunaachana akiwa 15. Sasa hili swali lako.........! Maan hata wazee husema, "kwenye msafara........"
 
Muda mzuri sana kwa mtoto aliyezaliwa na afya njema ni siku 7

Ndiyo na hapana. Mda mzuri ni siku 8. Hii humsaidia mtoto kupona fasta na kujisahau anapokuwa ananyonya maziwa ya mamake. Pia kovu hujakuwa kama ngozi yake ya kuzaliwa tu. Kuhusu kibamia endelea kudhani kihivyo tuu lakini ni maneno ya upotoshaji mno.
 
naomba kujuzwa miaka sahihi ya kutahiri mtoto wa kiume
kuna wanaoamini ni vizuri acheleweshwe mpaka miaka 5-7 kwamba akiwahi atakuwa kibamia? kuna ukweli hapo jamani
maana asijekukimbiwa na mademu hapo badae nikakosa mkwe[emoji3]
Hakuna muda maalum, ni wewe kujipanga ukiwa tayari mfanyie...
 
MBONA mie kibamia na nilitahiriwa juzi kwenye operesheni dondosha mkono sweta huko tabora.. ..haina uhusiano wowote mtoto wa kiume anarithi dushe la baba yake...so hutaki awe kibamia zaa na mandingo.
[emoji3] [emoji3] kwaio kibamia ipo kwenye genes? hii nimejua leo asante lakini
 
naomba kujuzwa miaka sahihi ya kutahiri mtoto wa kiume
kuna wanaoamini ni vizuri acheleweshwe mpaka miaka 5-7 kwamba akiwahi atakuwa kibamia? kuna ukweli hapo jamani
maana asijekukimbiwa na mademu hapo badae nikakosa mkwe[emoji3]
Kuhusu kibamia sio kweli maana mm nilitahiriwa nikawa na chini ya miezi 6 (kwa taarifa ya mama yangu) lakini sina kibamia, yani nina dushelele haswa. [emoji23] [emoji23]
 
Yaani kipnd naandika ili kuchangia hii mada nilitegemea kukutana na na swali kama hili lako.
Huyo ni mdogo wangu, nmeishi naye na amekua mikononi mwangu, tumeishi chumba kimoja mpaka tunaachana akiwa 15. Sasa hili swali lako.........! Maan hata wazee husema, "kwenye msafara........"
wewe ni Me au Ke?
 
Back
Top Bottom