Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani naomba kuuliza umri mzuri wa kutairi mtoto wa kiume ni upi?
asanteni
kule kwetu usukumani kukata mkono wa sweta (govi) umewahi sana ni miaka kumi na mbili ndo unapelekwa jando, dhumuni kubwa ni kuacha uume ukuwe vizuri na uwe imara, ili mtoto asiaibike kwenye ndoa.
Muda mzuri sana kwa mtoto aliyezaliwa na afya njema ni siku 7naomba kujuzwa miaka sahihi ya kutahiri mtoto wa kiume
kuna wanaoamini ni vizuri acheleweshwe mpaka miaka 5-7 kwamba akiwahi atakuwa kibamia? kuna ukweli hapo jamani
maana asijekukimbiwa na mademu hapo badae nikakosa mkwe[emoji3]
Hivi sasa ana umri gani huyo aliyetahiriwa na miezi 8?Kibamia na kuwahi kutahiriwa hakuna ukweli/uhusiano.
Mimi wa kwangu ana mwaka 1.9 nshagorogosha kila kitu, alhamisi ijayo atatahiriwa tukijaaliwa uhai.
Na mdogo wangu alitahiriwa akiwa na miezi 8, na hana kibamia.