Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Hata siku ya pili baada ya kuzaliwa inawezekana wenzetu mbele wanafanya hivyo
 
Jamani naomba kuuliza umri mzuri wa kutairi mtoto wa kiume ni upi?
asanteni

MZEE wangu alinambia alinitair nikiwa na miez mitatu na nikijichek leo hii nipo fit, jamaa ni mnene wa afya na anafanya kazi halali kwa ujira halali. Ila name tofauti na kizazi cha Leo cz vijana wetu wanakua ktk mazingira tofauti na yale yetu ya miaka ya 87. ushauri wangu ni kua mtahiri Uncle akiwa name miaka kuanzia 13 hivi ili kuepusha misukosuko kwa mujibu wa mazingira na vyakula wanavyokula. Itamanya awe fit kimaumbile
 
hakuna mda maalum lakini hata siku moja baada ya kuzaliwa inawezekana...
kwa wasiwasi wa madaktari kukosea mambo ni vyema mtoto angalau mwaka mmoja
 
Siku ya saba manake ndio uwezo wa damu clotting inakua juu sana
 
Kuanzia mwaka mmoja nice vizuri zaidi ili awake kukua vizuri na kuanza kuonyesha sura halisi ya dude!
 
kule kwetu usukumani kukata mkono wa sweta (govi) umewahi sana ni miaka kumi na mbili ndo unapelekwa jando, dhumuni kubwa ni kuacha uume ukuwe vizuri na uwe imara, ili mtoto asiaibike kwenye ndoa.

Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ukubwa wa penis na kutahiriwa.

Kutahiriwa kunaondoa tuu govi kichwani na haipunguzi au kuathiri ukuaji wa penis.

Urefu na upana wa penis unajumuisha ngozi, tissues, cells na mishipa ya damu na hizi haziathiriki kwa sababu ya kutahiriwa.Kwa maana nyingine, ukubwa wa penis unategemeana na structure ya cells.

Lakini pia inadaiwa kuwa penis huwa inaendelea kukua kuanzia utotoni hadi ukubwani na hakuna sababu ya kuamini kumtahiri mtoto mapena anapozaliwa kutaadhiri ukuaji wa penis yake.

Ukubwa wa penis unasababishwa na hormons hasa testosterone na hakuna ushahidi kutahiriwa mapema kunapunguza uzalishaji wa testosterone.

Lakini wapo wanaodai kuwa ukubwa wa penis unatokana genes za mtu, so labda kwenu mtakuwa na genes ambazo zinafanya penis zenu ziwe kubwa zaidi huku mkidhani sababu ni kuchelewa kutahiriwa.
 
Torati imeagiza ni SIKU YA NANE,mtoto wa kiume atahiriwe na hata kama ni sabato !
{WALAWI 12:3; JOHN 7:22~23;
LUKE 1:59}
 
Mtu wa kwanza kupewa agizo na Mungu kutahiri alikuwa na miaka tisini na kenda(99).
{MWANZO 17:12,23-27; LUKA 2:21}
 
Kibamia na kuwahi kutahiriwa hakuna ukweli/uhusiano.
Mimi wa kwangu ana mwaka 1.9 nshagorogosha kila kitu, alhamisi ijayo atatahiriwa tukijaaliwa uhai.

Na mdogo wangu alitahiriwa akiwa na miezi 8, na hana kibamia.
Hivi sasa ana umri gani huyo aliyetahiriwa na miezi 8?
 
Back
Top Bottom