Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Hivo vitu havina relations kabisa! wala hakuna kurithi kwenye hiyo sekta, ni majaaliwa tu ya maulana
 
MBONA mie kibamia na nilitahiriwa juzi kwenye operesheni dondosha mkono sweta huko tabora.. ..haina uhusiano wowote mtoto wa kiume anarithi dushe la baba yake...so hutaki awe kibamia zaa na mandingo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila sisi wamasai tumepata shida sana,,lazima ujue unakwenda kufanyiwa nn,,na uvumilie
 
Kibamia na kuwahi kutahiriwa hakuna ukweli/uhusiano.
Mimi wa kwangu ana mwaka 1.9 nshagorogosha kila kitu, alhamisi ijayo atatahiriwa tukijaaliwa uhai.

Na mdogo wangu alitahiriwa akiwa na miezi 8, na hana kibamia.
Huyo mdogo wako unajuaje hana kibamia alikuoneshega dushee
 
Mm wangu nilimtahiri akiwa na miezi 4 na hata mm nilitahiriwa nikiwa na miezi hiyo....kibamia hakihusiani na kuwahi kumtahiri mtt
 
naomba kujuzwa miaka sahihi ya kutahiri mtoto wa kiume
kuna wanaoamini ni vizuri acheleweshwe mpaka miaka 5-7 kwamba akiwahi atakuwa kibamia? kuna ukweli hapo jamani
maana asijekukimbiwa na mademu hapo badae nikakosa mkwe[emoji3]
Mwache akue hadi 15 mzigo ufike 7inc ndio umkate hiyo ngozi halafu subiri foleni ya mijimama itakayomkimbilia
 
Kibamia na kuwahi kutahiriwa hakuna ukweli/uhusiano.
Mimi wa kwangu ana mwaka 1.9 nshagorogosha kila kitu, alhamisi ijayo atatahiriwa tukijaaliwa uhai.

Na mdogo wangu alitahiriwa akiwa na miezi 8, na hana kibamia.
we umejuaje hana kibamia??
 
Hahahahaha lol! Clkey umetumia kipimo kipi ili kujua yuko fresh? Mzima lakini? 🙂
Hahahaha BAK mie mama jamani si namuogesha namuona kama nanihii iko fresh
Mie namshukuru Allah sijambo kbisaaa labda ww mkuu
 
Mkuu kuna uhusina wa kutahiri mapema na Kibamia, Huwezi kuta Mmasai au Mkurya yuko na Kibamia kwa sababu wanatahiri watoto wako wakiwa kianzia miaka 7 na kuendelea....
Kumuepushia fedhea Mtoto wako mtahiri akiwa na 6+ na kuendelea ...

NB: Ushauri kutoka kwa MKurya wa Nyamongo.
 
Siki 40 tu toka azaliwe pita na govi ilo awe msafi na mbimbi ianze kukomaa bila vikwazo.
 
Nikweli umri sahihi ni miaka 13-nakuendelea kwani misuri inakuwa imetanuka ukimtahiri kwa miaka 2 unaua misuri yake ya uume
 
Wewe unavyohisi mimi ni nani?
Na je, hata nikiwa mwanamke, au mwanaume wew itakusaidia nini?
Wakati mwingine kama huna cha kuchangia ni bora ukaoge, ukalale.

Wengine hatukufunzwa kutapika hata kama hatuonekani, jiheshimu ili uheshimiwe. Asante!
Mkuu mbona umewaka Sana kwa kitendo cha mwannchi mmoja kutaka kujua jinsia yako.
KWANI ungemjibu ME au KE ingekuwaje?
anyway...na mie naomba kujua jinsia yako tafadhali. ...kwa manufaa ya jukwaa tambulisha jinsia yako.
 
Back
Top Bottom