Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Je wewe mwenyewe ilikuwa na umri ganiMimi mwanangu nilimtairi akiwa na miezi 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je wewe mwenyewe ilikuwa na umri ganiMimi mwanangu nilimtairi akiwa na miezi 4
Je wewe mwenyewe ilikuwa na umri gani
Duh.. Vp wajionaje upo fiti hamna tatizo lolote unaloona labda unaloweza kuhisi labda limesababishwa na kutahitiwa mapema??Mm nilitahiriwa nikiwa na miezi 6
Duh.. Vp wajionaje upo fiti hamna tatizo lolote unaloona labda unaloweza kuhisi labda limesababishwa na kutahitiwa mapema??
Haya buanakwetu watoto wa kiume wanatahiriwa wakiwa na weeks tangu kuzaliwa...akitoka 40 kashapona kidonda..
habari za uume utakua mfupi au mrefu...sijui kwa kwli
[emoji23][emoji23][emoji23]Miaka 4, 5 nilikuwa mdogo kweli sikumbuki mengi zaidi ya vilio tu vya walionitangulia kuingia chumba husika.
Sa waTuliotahiriwa tukiwa na miaka 14 tukae pembeni kwanza
Asante kumbe ni stor tu kama za kijiweniMi nakumbuka nimetahiriwa nikiwa darasa la kwanza miaka 8,nlipelekwa porini na wenzangu ilipofika zamu yangu nlipigwa boooonge la mtama nikaenda chini ile kuinuka mkono wa sweta ushakatwa tena bila ganzi dadeki,ila nna kibamia asee ikiwa imelala ,ikisimama inaumuka ka mkate wa supa lofu, so suala la kusema eti ukiwahi unakua na dololo ndogo ni maneno tu ya wabongo kila MTU kaumbwa na dushelele lake
Unaona sasa haya ndo nilikuwa maanishaKuna Daktar alinieleza kuwa ni vyema mtoto atahiriwe baada ya kumaliza darasa la saba akimaanisha miaka 14, hii itaepusha kuwa na mb*o fupi. Ikiwa chini ya hapo inaweza kuleta shida.
Tukae pembeni kweli..kuna zile jamii inabidi hadi usubirie wenzako wakue ndo mpelekwe jando..Tuliotahiriwa tukiwa na miaka 14 tukae pembeni kwanza
Kuna raha yake ya kutahiriwa ukiwa mkubwa, ila adha yake pia ni hatari.Tukae pembeni kweli..kuna zile jamii inabidi hadi usubirie wenzako wakue ndo mpelekwe jando..
[emoji23][emoji23]Kuna raha yake ya kutahiriwa ukiwa mkubwa, ila adha yake pia ni hatari.
Kulala uchi huku mkuyenge ukipigwa na upepo usiku kucha ni noma aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]