Umri huu ni kete yako ya mwisho, ukikosea ni majuto hadi unaingia kaburini

Umeongea kitu kimunwa sana. Wachache watapita kule.

It's like watu wanavyodai life start at forty. Nashagaa kuna madogo Wana 30 Wana maisha mazur
 
Kama umefanikiwa kujenga nyumba nzuri ya kuishi...asikudanganye mtu ww kula bata
hahaha najuta nikifulia kwa kweli
kama nnazo, kiti kirefu Fancy Tabata, makange ya mbuzi na ceres apple pembeni

Ukiwa na chini ya 3.0 basi una GPA ya kishenzi.
Yangu ipo chini ya hapo na nilisoma kwa shida sana mawazo mengi sanaa
 
Umeongelea ukweli tupu...(well said)
 
Kama umefanikiwa kujenga nyumba nzuri ya kuishi...asikudanganye mtu ww kula bata



Yangu ipo chini ya hapo na nilisoma kwa shida sana mawazo mengi sanaa
GPA haiumizi akili kama kufeli form six halafu ukose principal passes za kwenda kozi unayoitaka.. utakuta unataka upige Bcom ila wanachukua mwisho One ya 8 saa hiyo una II ya 12.
 
Thanks
 
Relax bro. Kuhusu shule wengi tuna majuto. Tumepishana tu viwango. Kuna mtu alienda Advance na One ya 9 halafu six akapiga div. IV, Mwingine aliingia chuo na one kali ila akatoka na G.P.A ya kishenzi.
Nilienda form V nikiwa na dv one ya 13 form 6 nikamaliza na dv 3 ya 14 .
Mzee alinikatia tamaa sana,sikua Sawa na mzee since then. Kafariki akiwa hatUko in good terms na last born wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…