MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mzee wetu ilibidi akuelewe tu. Advance lolote huwa linatokea hasa PCM na PCB. III ya 14 wala hukufeli kihivyo. Kuna jamaa form IV alikuwa ana one kali akaenda Ifunda PCM mwaka 2004 alipiga ZIRO.Yes pcb ifunda