Mzee wetu ilibidi akuelewe tu. Advance lolote huwa linatokea hasa PCM na PCB. III ya 14 wala hukufeli kihivyo. Kuna jamaa form IV alikuwa ana one kali akaenda Ifunda PCM mwaka 2004 alipiga ZIRO.
Kila kitu kinamajuto tu mkuu kuna wanaojutia kuzaa, kuna wanaojutia kupoteza muda shule, kuna wanaojutia kujenga, kuna wanaojutia kuwahi kuoa so choose your own path maisha hayafundishwi