Hii ndiyo Afrika!Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki:
View attachment 2946542
Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke.
Kumbe kwanini Museveni, Kagame, Putin, Xi, Kim au wale wengine wangali wamekomaa?
Kwamba kama ndoa, hadi kifo kiwatenganishe?
Kwa hakika tuendelee kujifunza penye nia ipo njia.
Hii nchi ya Chadema iko bara lipi?Hata chadema Mwenyekiti ni yule yule tu kwa miaka 20 sasa
CUF,DP,UDP,UDPP, na wale wengine ambao hata majina yao hayafahamiki wao ruksa kama Bia hata miongo mitano si Milango III wazi!.Hata chadema Mwenyekiti ni yule yule tu kwa miaka 20 sasa
Hii ndiyo Afrika!
Hahahahaha..hapa utagombana na watuHata chadema Mwenyekiti ni yule yule tu kwa miaka 20 sasa
Tawala dhalimu za kiafrika huwa zinawafaidisha wajinga wachache wanaoona sifa kuendelea kupigia debe uwepo wa serikali za kinyonyaji, ilimradi wao waendelee kupata chochote toka kwa viongozi walafi wasiochoka kututafuna.
Hata chadema Mwenyekiti ni yule yule tu kwa miaka 20 sasa
Hahahahaha..hapa utagombana na watu
Twende na namba 2Tatizo ni kuwa pana ndugu wanachukulia personal, hili ni suala la principal. Tuheshimu taratibu na maoni ya watu.
Alisema Nyerere, ukiona watu hawataki ung'atuke, yawezekana:
1. Ni nia yao ya dhati kuwa kweli wananchi wanakuhitaji.
Au,
2. Ni hofu yao kuwa ukitoka watakula wapi ...
Akakazia kuwa hasa hili #2 ndipo walipo kina Etwege na kina Lucas mwashambwa.
Zingatia kama kwao kama kwetu hata huku wapo.
Hii nchi ya Chadema iko bara lipi?
Twende na namba 2
Na Putin naye ni mwafrika?Hii ndiyo Afrika!
Duh
Ova
Ila madaraka matamu hata kama ni ya ndugu yako kubwa uwe na faida nayo..utatamani iwe hivyo miaka yoteNdipo pia alipokazia baba wa taifa (rip) na kumkomalua mzee Ruksa hadi kuitema ndoano.
Hata CCM ipo madarakani miaka 60+Hata chadema Mwenyekiti ni yule yule tu kwa miaka 20 sasa
Sorry but... naamini ndio maana waafrika huwa tunaitwa manyani!.Mwinyi (RIP) akitaka mitano mingine na sababu zilikuwapo. Bila Nyerere kukomaa kivyake vyake tusingetoboa.
Jiwe tulishaambiwa atake asitake.
Haka katabia bila kujali itijadi za vyama, kalikuwa si ka kuendekeza.