Umri miaka 91, Paul Biya Mitano mingine: tuendelee kujifunza

Umri miaka 91, Paul Biya Mitano mingine: tuendelee kujifunza

WACHA ATAWALE NCHI NI YAKE WANANCHI WANAMPENDA MNO

1. Hara jiwe nchi ilikuwa yake. Mzee ruksa nchi ilikuwa yake.

2. Taabu ipo hapa kwenye wananchi kumpenda mno ...

3. Hapo kwenye mapendo ndipo zilipo zile janja zetu pedwa; hatukosi sababu hata kama ni za kuigiza!
 
Yaani huyu Biya anataka niamini NGOZi nyeusi tunashida pahala,maana hata HAITI huko nako ni shida

Ila usiwasahau Putin, Xi, na Kim si waafrika hao.

Kwa upande mwingine Nyerere na Mandela walikuwa waafrika.

Yawezekana tatizo ni tamaa za mzee fisi tu.
 
Putin, Xi na Kim siyo waafrika lakini. Pana haja ya ku craft muarobaini wa maana.
Ni kweli uluchosema.
Lakini kumbuka kwamba watawala wengi zaidi wa ki-Afrika ambao Wana tabia za udikteta ukichunguza kwa umakini mkubwa utagundua kwamba wameiga tabia hizo kutoka kwa hao uliowataja, yaani Urusi, China, Korea ya Kaskazini pamoja na washirika wao. Mfano ulio hai, hata CCM wameiga hulka ya utawala wa kidikteta na ghiriba kutoka kwa hawa hawa uliowataja, Mwl. Nyerere ali-cooy na ku-paste kutoka kwao.
 
Ila nadhani ni hulka ya binadami kukomaa madarakani kama haipo misingi imara ya kumwondosha.

Yawezekana hata wanako heshimu misingi ya demokrasia ni Kwa kuwa hawana namna.

Angalia Trump, Khan au Bolsonaro.
 
Aisee wacameruni kumbe nao ni mbumbumbu kama sisi watz!! yaani wameshindwa kuitoa hiyo takataka??wabongo na nyie mjitafakari wanaume wote Tanzania mmeshindwa kuibandua CCM miaka 60.. hivi Senegal Vipi Yule kijana ametangazwa??
 
Ndiyo maana Afrika haiendelei
Cha muhimu ni uboreshwaji wa katiba tu,mbona Trump anataka kurudia Urais....?
Umri wa Joe Bidden?
Lakini nchi Ina maendeleo.
 
Aisee wacameruni kumbe nao ni mbumbumbu kama sisi watz!! yaani wameshindwa kuitoa hiyo takataka??wabongo na nyie mjitafakari wanaume wote Tanzania mmeshindwa kuibandua CCM miaka 60.. hivi Senegal Vipi Yule kijana ametangazwa??

IMG_20240330_145310.jpg
 
Back
Top Bottom