- Thread starter
- #21
Ila madaraka matamu hata kama ni ya ndugu yako kubwa uwe na faida nayo..utatamani iwe hivyo miaka yote
1. Vitamu ni vingi ndiyo maana maandiko yakituasa kuwa na kiasi.
2. Ndiyo maana hata chakula kuna kushiba.
3. Huwezi kukomaa kula tu Kwa kuwa chakula ni kitamu.
Kama ni mstaarabu lakini.