Ila madaraka matamu hata kama ni ya ndugu yako kubwa uwe na faida nayo..utatamani iwe hivyo miaka yote
Sorry but... naamini ndio maana waafrika huwa tunaitwa manyani!.
Nikiwaambia kuwa Mungu anaipenda Tanzania muwe mnaniamini. Magufuli alitaka kuwa kama huyu Paul Biya. Baada ya Dikteta kuiba uchaguzi wote wa Serikali za Mitaa wa 2019, akaiba uchaguzi Mkuu wa 2020 kisha akaweka wabunge ambao wangempitisha awe Rais wa maisha mwaka 2025.Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki:
View attachment 2946542
Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke.
Kumbe kwanini Museveni, Kagame, Putin, Xi, Kim au wale wengine wangali wamekomaa?
Kwamba kama ndoa, hadi kifo kiwatenganishe?
Kwa hakika tuendelee kujifunza penye nia ipo njia.
Nikiwaambia kuwa Mungu anaipenda Tanzania muwe mnaniamini. Magufuli alitaka kuwa kama huyu Paul Biya. Baada ya Dikteta kuiba uchaguzi wote wa Serikali za Mitaa wa 2019, akaiba uchaguzi Mkuu wa 2020 kisha akaweka wabunge ambao wangempitisha awe Rais wa maisha mwaka 2025.
Ila Mungu akamuonyesha ukuu wake, hakuishi na uRais huo zaidi ya siku 114 kabla hajamtosa jehanam
Angel Merkel alikaa madarakani miaka mingi pia.Putin, Xi na Kim siyo waafrika lakini. Pana haja ya ku craft muarobaini wa maana.
Sijui Cameroon ni nchi ya mazezeta au misukule. How come mtu anayepaswa kuwa kwenye nyumba za kulelea wazee (nursing home) bado yuko ofsini?1. Kulikoni kumsisitiza au kumsabiria Mola?
2. Watu hawa si wakuvumilia.
3. Hawa mbona ni saizi yetu?
4. Hawa ni wa kufurusha unceremoniously na Tena bila kuwaangalia nyusoni.
Sijui Cameroon ni nchi ya mazezeta au misukule. How come mtu anayepaswa kuwa kwenye nyumba za kulelea wazee (nursing home) bado yuko ofsini?
Nilimpenda sana yule General Brice Oligui ambaye ni binamu wa Ali Bongo aliyeamua kufanya mapinduzi ya kumtoa Ali Bongo ambaye alikuwa anatumia wheel chair baada ya kupata stroke. Alimpindua ndugu yake bila kumwaga damu na maisha yanaendelea
Angel Merkel alikaa madarakani miaka mingi pia.
Inatupa picha mwamba akiingia mjengoni white house mtafute greda la kumtoaHata chadema Mwenyekiti ni yule yule tu kwa miaka 20 sasa
Nikiwaambia kuwa Mungu anaipenda Tanzania muwe mnaniamini. Magufuli alitaka kuwa kama huyu Paul Biya. Baada ya Dikteta kuiba uchaguzi wote wa Serikali za Mitaa wa 2019, akaiba uchaguzi Mkuu wa 2020 kisha akaweka wabunge ambao wangempitisha awe Rais wa maisha mwaka 2025.
Ila Mungu akamuonyesha ukuu wake, hakuishi na uRais huo zaidi ya siku 114 kabla hajamtosa jehanam
Ya Membe weka wewe sababu, mimi nimeandika niliyo na uhakika nayo.Na Membe nae alionyeshwa ukuu kwa sababu gani?
Ukiwa mpumbavu uwe unaficha ujinga wako
WACHA ATAWALE NCHI NI YAKE WANANCHI WANAMPENDA MNOAma kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki:
View attachment 2946542
Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke.
Kumbe kwanini Museveni, Kagame, Putin, Xi, Kim au wale wengine wangali wamekomaa?
Kwamba kama ndoa, hadi kifo kiwatenganishe?
Kwa hakika tuendelee kujifunza penye nia ipo njia.
Halafu hawa watu huwa hawapati mvi kamwe hata kama wana miaka 90 mfano ni mugabe wa Zimbabwe.Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki:
View attachment 2946542
Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke.
Kumbe kwanini Museveni, Kagame, Putin, Xi, Kim au wale wengine wangali wamekomaa?
Kwamba kama ndoa, hadi kifo kiwatenganishe?
Kwa hakika tuendelee kujifunza penye nia ipo njia.
Halafu hawa watu huwa hawapati mvi kamwe hata kama wana miaka 90 mfano ni mugabe wa Zimbabwe.