WACHA ATAWALE NCHI NI YAKE WANANCHI WANAMPENDA MNO
Yaani huyu Biya anataka niamini NGOZi nyeusi tunashida pahala,maana hata HAITI huko nako ni shida
Heri kuliko vibaka wa ccm wanaukwiba n kusifiwa na mwenyekiti waoHata chadema Mwenyekiti ni yule yule tu kwa miaka 20 sasa
Kwani wala hudanganyi:Huyu Mzee mwishowe atakufa akitoa Speech Kazeheka sana.
Ni kweli uluchosema.Putin, Xi na Kim siyo waafrika lakini. Pana haja ya ku craft muarobaini wa maana.
Urusi, China na Korea ya Kaskazini ni Waasisi wa hayo mambo ya utawala wa kidikteta.Na Putin naye ni mwafrika?
CCM tangu 1954 70 years old *****Hata chadema Mwenyekiti ni yule yule tu kwa miaka 20 sasa
Ngoja waje kukushambulia bodigadi wa mr djayHata chadema Mwenyekiti ni yule yule tu kwa miaka 20 sasa
Nyerere robo Karne 1961-1985... Mwenyekiti wa chama 1960 to 1992Hata chadema Mwenyekiti ni yule yule tu kwa miaka 20 sasa
Basi ni vyema tuache kuwasimanga wafuasi (weusi) madiktetaUrusi, China na Korea ya Kaskazini ni Waasisi wa hayo mambo ya utawala wa kidikteta.
Ni kweli uluchosema.
Lakini kumbuka kwamba watawala wengi zaidi wa ki-Afrika ambao Wana tabia za udikteta ukichunguza kwa umakini mkubwa utagundua kwamba wameiga tabia hizo kutoka kwa hao uliowataja, yaani Urusi, China, Korea ya Kaskazini pamoja na washirika wao. Mfano ulio hai, hata CCM wameiga hulka ya utawala wa kidikteta na ghiriba kutoka kwa hawa hawa uliowataja, Mwl. Nyerere ali-cooy na ku-paste kutoka kwao.
Cha muhimu ni uboreshwaji wa katiba tu,mbona Trump anataka kurudia Urais....?Ndiyo maana Afrika haiendelei
Nani alikuambia ccm ilizaliwa 1954?CCM tangu 1954 70 years old *****
Nani alikuambia ccm ilizaliwa 1954?
Nani alikufundisha huo msemo?Pori jipya nyani wale wale ..
Aisee wacameruni kumbe nao ni mbumbumbu kama sisi watz!! yaani wameshindwa kuitoa hiyo takataka??wabongo na nyie mjitafakari wanaume wote Tanzania mmeshindwa kuibandua CCM miaka 60.. hivi Senegal Vipi Yule kijana ametangazwa??