Umri miaka 91, Paul Biya Mitano mingine: tuendelee kujifunza

Cha muhimu ni uboreshwaji wa katiba tu,mbona Trump anataka kurudia Urais....?
Umri wa Joe Bidden?
Lakini nchi Ina maendeleo.

Taabu yake ni kuwasubiria walioko madarakani kukubali kufanya maboresho hayo kwa ridhaa yao
 
Madaraka ni matamu na ni machungu pia !!
Kiongozi akikaa sana madarakani anaanza kupata hofu ambayo inakolezwa sana na wale washirika wake ambao wananufaika sana kwa yule Kiongozi kubakia madarakani !!

Na pia wale waliokuwa wakijimwambafay kwa kufanya chochote wanachojisikia kufanya ni lazima watapata hofu kwamba Mzee akiondoka pale tutakuja kusulubiwa !
Kwahiyo wataendelea kumjaza hofu Mzee kwamba akiondoka pale juu ataishia gerezani !!
 
Hangaya mwenyewe tushamuambia atake asitake mitano tena..na form ndani ya chama tumeisha ichapisha moja tu
 
Mbona kama ana miaka 70?
 
1. Vitamu ni vingi ndiyo maana maandiko yakituasa kuwa na kiasi.

2. Ndiyo maana hata chakula kuna kushiba.

3. Huwezi kukomaa kula tu Kwa kuwa chakula ni kitamu.

Kama ni mstaarabu lakini.
Akitoka wanauwawa waogaaaa
 
Unaweza shangaa Machadema yenye Mwenyekiti wa milele eti nao wanashangaa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ