Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Tafiti zinaonyesha wanawake huogoza kuhofia umri ila hata wanaume nao huogopa ongezeko la umri , kuna madhara makubwa usipodhibiti hofu ya umri
MADHARA USIPODHIBITI HOFU YA UMRI.
1. Kukosea kwenye kuchagua
2. Kufanya maamuzi ya hovyo
3. Kupoteza msimamo.
4. Kukosa subira.
5. Kuwa na hasira za hovyo.
DHIBITI HOFU YA UMRI
Umri ni kitu kisichorudi nyuma hivyo njia pekee ni kukubali tu kuwa hakuna namna utafanya urudi nyuma na umri kuzidi isiwe sababu ya kujiona hustahili tena kuchagua kwa utulivu
#fikia Ndoto Zako
#Mwanasayansi Saul kalivubha