Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Ndo acha kuonea wenzakoIla umri unaogopesha jamani.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo acha kuonea wenzakoIla umri unaogopesha jamani.....
Wee jamaa umechafukwa kweli kweli 😂😂😂Wanawake nahisi siku hizi ndio wamekuwa wachache sana Wengi ni mijike dume.
Wanaharakati wa hovyo waliotayari kufanya Chochote hata kama ni Kudhalilisha viungo vyao ili wapate pesa.
Tena hao hao wanaosema wanaume wamekuwa wachache ndio hao hao wanachezewa nyeti zao balaa tena mbele ya Camera.
Kisha wakija huku JF wanasema Wanaume ni wachache.
Wanawake Wasagaji ni wengi wasimbe nao ni wengi tomboys nao ni wengi makahaba ni wengi wadangaji ni wengi wanawake Bikra ndio wachache tena bikra za nyuma ndio chache kweli kweli kiufupi hali ni mbaya.
Shetani imetosha kuwaharibu hawa viumbe.
Mkuu asset ya maana kama ipi mkuuMwanaume hofu ya umri huwa haipo kwenye suala la mahusiano na ndoa kwa sababu mwanaume huwa hachuji kwenye suala linalo husu mahusiano au ndoa.
Hofu ya mwanaume huwa ni kuona umri unakimbia alafu ishu zake za kipato hazieleweki.
Kiukweli mwanaume ukifikisha miaka 30 bila kuwa na aset yeyote ya maana ni razima upaniki.
😂😂Hongera
Kdddke show kaliAm 31….afu bado bila bila….biashara yangu mwaka huu nimeifunga kumamina..! Bado binti yangu ananitegemea ,next year anaanza shule!! Dah maisha **** nyoko.
Usisahau ya kwamba watoto wa 2000 Wana Miaka 24,all are almost graduateIla umri unaogopesha jamani.....
Usifunge biashara,uza vitu vidogovidogo,wanaita groceries,kila mtoto mdogo anaweza nunua pipi, biscuits na ChocolateAm 31….afu bado bila bila….biashara yangu mwaka huu nimeifunga kumamina..! Bado binti yangu ananitegemea ,next year anaanza shule!! Dah maisha **** nyoko.
Makazi ya kudumu,biashara,mifugo,familia n.kMkuu asset ya maana kama ipi mkuu
Hii ni hofu tayari,think + wanaume wema nao wanaona kama wanawake ni wachache...Sisi wanawake hofu tumeshaiondoa, tumekubali ukweli kuwa wanaume ni wachache, hao hao wachache Kuna mashoga, Kuna wasio na nguvu...
Sijui nani katudanganya wanaume kuwa kwenye swala la ndoa na mahusiano wanaume hatuchuji, hata sisi tunachuja, kuchuja kwa mwanaume kunaanza taratibu kuanzia miaka 30+, mwanaume wa miaka 35 ukitaka oa mdada wa miaka 21, hapo mara nyingi mdada atakuwa anakupendea pesa, maana atakuona ushaanza kua mzee. Mwanaume anakuwa na soko kwenye mahusiano pale anapoanza kubalehe (16-23)Mwanaume hofu ya umri huwa haipo kwenye suala la mahusiano na ndoa kwa sababu mwanaume huwa hachuji kwenye suala linalo husu mahusiano au ndoa.
Hofu ya mwanaume huwa ni kuona umri unakimbia alafu ishu zake za kipato hazieleweki.
Kiukweli mwanaume ukifikisha miaka 30 bila kuwa na aset yeyote ya maana ni razima upaniki.
Makazi ya kudumu an umejenga au..?Makazi ya kudumu,biashara,mifugo,familia n.k
Yaa kila kitu sio cha kukodi hapo,uwe nacho liveMakazi ya kudumu an umejenga au..?
Biashara vipi yoyote ile.....
Mifugo hapo daaah...
Familia uwe na watoto au umeoa kabisa ?
Ukiwa na mifugo kila shida ndogo inajifuta yenyewe,imagine bei ya kuku kwa sasa na ng'ombe na mbuzi,hizi ni na zaidi ya koroshoYaa kila kitu sio cha kukodi hapo,uwe nacho live
Mmmh yaan ndani ya miaka 30 uwe navyo hvo ahahahaa wee zombie weeYaa kila kitu sio cha kukodi hapo,uwe nacho live
Sijui sana kuhusu kuchuja kwa binadamu, siku nikichuja nitaelewa kinachozungumziwa .Sijui nani katudanganya wanaume kuwa kwenye swala la ndoa na mahusiano wanaume hatuchuji, hata sisi tunachuja, kuchuja kwa mwanaume kunaanza taratibu kuanzia miaka 30+, mwanaume wa miaka 35 ukitaka oa mdada wa miaka 21, hapo mara nyingi mdada atakuwa anakupendea pesa, maana atakuona ushaanza kua mzee. Mwanaume anakuwa na soko kwenye mahusiano pale anapoanza kubalehe (16-23)
Labda na wadada wa humu jf watuongezee ujuzi kidogo Kelsea Numbisa Ms R To yeye Madame B binti kiziwi Jadda ITR
Uongo uongo ni uongo.Sijui nani katudanganya wanaume kuwa kwenye swala la ndoa na mahusiano wanaume hatuchuji, hata sisi tunachuja, kuchuja kwa mwanaume kunaanza taratibu kuanzia miaka 30+, mwanaume wa miaka 35 ukitaka oa mdada wa miaka 21, hapo mara nyingi mdada atakuwa anakupendea pesa, maana atakuona ushaanza kua mzee. Mwanaume anakuwa na soko kwenye mahusiano pale anapoanza kubalehe (16-23)
Labda na wadada wa humu jf watuongezee ujuzi kidogo Kelsea Numbisa Ms R To yeye Madame B binti kiziwi Jadda ITR
Labda kwenye jamii yako ww.Sijui nani katudanganya wanaume kuwa kwenye swala la ndoa na mahusiano wanaume hatuchuji, hata sisi tunachuja, kuchuja kwa mwanaume kunaanza taratibu kuanzia miaka 30+, mwanaume wa miaka 35 ukitaka oa mdada wa miaka 21, hapo mara nyingi mdada atakuwa anakupendea pesa, maana atakuona ushaanza kua mzee. Mwanaume anakuwa na soko kwenye mahusiano pale anapoanza kubalehe (16-23)
Labda na wadada wa humu jf watuongezee ujuzi kidogo Kelsea Numbisa Ms R To yeye Madame B binti kiziwi Jadda ITR