MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Changamoto za kazini hakuna mahali uli ji commit kwamba utakabiliana nazo mpaka kifo kikutenganishe nazo, unaweza ukaamka asubuhi ukaamua naacha kazi wala sio issue. Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini kipindi cha COVID 19 ndoa nyingi zilivunjika na hata Migogoro kwenye familia mbali mbali iliongezeka??!Ndoa haiwezi kua jehanam coz changamoto zake hazifikii hata 1/4 ya changamoto za makazini kwetu.