Umri ni kitu kingine kinachowapa watu hofu

Umri pekee unaoishi bila hofu ni 20s, yaani hapo huna hofu ya kuzeeka. Ukishakata 20s na kuingia 30s+ tayari hofu ya uzee inaanza.

Nakumbuka one of my cousins alipogonga 50 alipatwa na simanzi sana, ati "yaani 50 tayari? sasa uzee is evident "
 
Kweli hii , kasi huwa ni kubwa hapa
 
Kujihangaisha kifikra juu ya mambo yaliyo nje ya uwezo wako ni kujipokonya raha, amani na furaha za wakati huu.......

Huzuni, simanzi haviwezi kuzuia nyakati bali ni kukuweka kwenye gereza la mateso ya nafsi.....

Dunia ni njia sote tunapita kila mtu kwa wakati wake...sio kwa wazee au vijana.....

Watu wanajisahau na maisha ya dunia hata kuweka mipango mirefu utasema wataishi milele.....

Kwa wakati ulionao na umri ulionao jitahidi sana kufurahia maisha....... furahia zawadi ya uhai......
 
Mwanaume hofu ya umri huwa haipo kwenye suala la mahusiano na ndoa kwa sababu mwanaume huwa hachuji kwenye suala linalo husu mahusiano au ndoa.
Hofu ya mwanaume huwa ni kuona umri unakimbia alafu ishu zake za kipato hazieleweki.
Kiukweli mwanaume ukifikisha miaka 30 bila kuwa na aset yeyote ya maana ni razima upaniki.
 
Suala la umri ni kweli lina athari tofauti kutoka mwanamke mpaka mwanaume ✍️
 
Back
Top Bottom