Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
😊Sisi wanawake hofu tumeshaiondoa, tumekubali ukweli kuwa wanaume ni wachache, hao hao wachache Kuna mashoga, Kuna wasio na nguvu...
Hata hao wanawake, kuna wengine ma-Tom boy, wengine wanasagana, wengine wanataka wanaume mrefu kuanzia futi sita, wengine wanataka awe na ghorofa goba.Sisi wanawake hofu tumeshaiondoa, tumekubali ukweli kuwa wanaume ni wachache, hao hao wachache Kuna mashoga, Kuna wasio na nguvu...
Kwn umri ni ktk ndoa tu?Sisi wanawake hofu tumeshaiondoa, tumekubali ukweli kuwa wanaume ni wachache, hao hao wachache Kuna mashoga, Kuna wasio na nguvu...
Hao wanaochagua jua Bado ushangazi haujawagongea ngoja age isongeHata hao wanawake, kuna wengine ma-Tom boy, wengine wanasagana, wengine wanataka wanaume mrefu kuanzia futi sita, wengine wanataka awe na ghorofa goba.
Vipi wewe jua la jioni au usiku umeshaingiaIla umri unaogopesha jamani.....
Acha tu bro......Vipi wewe jua la jioni au usiku umeshaingia
Wanawake nahisi siku hizi ndio wamekuwa wachache sana Wengi ni mijike dume.Sisi wanawake hofu tumeshaiondoa, tumekubali ukweli kuwa wanaume ni wachache, hao hao wachache Kuna mashoga, Kuna wasio na nguvu...
Ndo hofu zenyewe mwili unakubali age imekata ila akili inagoma kukubaliAcha tu bro......
Ndo nmeanza kumuelewa sepetu kwanini kila birthday anajisingizia she is 28.
Hiyo dhana kua wanaume ni wachache mnaitoa wapi ? Kidunia wanaume ni 50.4% na wanawakè 49.6% na Tz wanaume 49% na wanawake 51%Sisi wanawake hofu tumeshaiondoa, tumekubali ukweli kuwa wanaume ni wachache, hao hao wachache Kuna mashoga, Kuna wasio na nguvu...
Wengine hupaka rangi nywele ili kuficha rangi inayotokana na umri.