Umri ni kitu kingine kinachowapa watu hofu

Ndoa haiwezi kua jehanam coz changamoto zake hazifikii hata 1/4 ya changamoto za makazini kwetu.
Changamoto za kazini hakuna mahali uli ji commit kwamba utakabiliana nazo mpaka kifo kikutenganishe nazo, unaweza ukaamka asubuhi ukaamua naacha kazi wala sio issue. Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini kipindi cha COVID 19 ndoa nyingi zilivunjika na hata Migogoro kwenye familia mbali mbali iliongezeka??!
 
Uhitaji wa kipato ndo commitment ya kuvumilia changamoto za kazini, ndo maana si rahisi kuacha kazi kama hujapata plan B, labda ufukuzwe kazi.

Covid ilisababisha watu wengi kupunguzwa makazini, jambo lililoathiri vipato vya familia nyingi.
 
Balqior usisahau pia jamii inayokuzunguka nayo inachangia kwa kiasi kikubwa kukatisha watu tamaa
Cc: Balqior Genius Man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…