Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

Kumbe hata mie mwenye umri wa miaka 70 naweza kuoa ikibidi - ila akipatikana mtoto wa ndoa hii kuniita baba itakuwa mtihani!
 
Ingekua wote tunapevuka kiakili mapema kwa Mwanaume ni 21yrs kwa mwanamke 19yrs

Kutokana na hali ya uchumi na Ukomavu haswa kwa nchi zetu Afrika nafikiri Kwa mwanaume ni Around 24-27 na Mwanamke 22-26
 
Sauti za vilio vyenu. Zimenifikia. Bakin kwenye lanes zenu manee manee. But Mapenzi wacheniiπŸ˜‚πŸ˜‚
😁😁 ukiona mchaga analia lia kisa mapenzi jua huyo ni chotara au kaibiwa pesa 😁😁
 
Kumbe hata mie mwenye umri wa miaka 70 naweza kuoa ikibidi - ila akipatikana mtoto wa ndoa hii kuniita baba itakuwa mtihani!
Wanaume tuna huo upendeleo

Mimi mwenyewe hapa nimegonga miaka 79 Mwezi Uliopita, na tayari dogodogo wangu hapa ni Mama Kija 😜
 
Ukiwa tayari Kuoa, nenda Kijijini kwenu ukatafute Mke mzuri mwenye maadili na tabia njema

Wengi wa mabinti wa Mjini wa Umri huo wa 25 unakuta ameshafanya Starehe zote ikiwemo Ulevi.

Yaani hata Siku ukipita naye maeneo ya Breweries pale Temeke akisikia ile harufu ya Beer pale getini anakutajia aina beet inayopikwa muda huo kwamba ni Safari Lager ama Castle light πŸ˜œπŸ™Œ
 
Hata vijijini hupati mwenye 25+, hapo labda ukute wale wasomi wenye roho ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…