Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

oa au olewa ukiwa tayari, hivyo vya umri ndo vinafanya watu waingie ndoani kwa presha na mihemko tu
Mwambie kabisa ukiwa tayari kuwa Mke au Mume, nikimaanisha Majukumu! Asidhani kuwa tayari kuvaa nguo ya harusi
 
oa au olewa ukiwa tayari, hivyo vya umri ndo vinafanya watu waingie ndoani kwa presha na mihemko tu
hahahaha tatizo mpaka ukawwe tayari kwa sie wanaume ulishakuwa master of masturbation 😀😀😀😀😀😀
 
Mamboo

Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri.

Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
Binafsi Mimi nilio nikiwa Na umri wa miaka 28.

Kwa mwanamke kuanzia miaka 18 hadi 25 unatakiwa uwe umeolewa.Ikipita hapo ujue wewe umeenda kutuliza aubu yako Kwa kijana wa watu. Au uliachika kisha ukaolewa tena.
 
Kuoa ni uamuzi binafsi maana anaekwenda kuishi kwenye ndoa ni wewe ni mwenzako,Sasa kama hujawa tayari wewe binafsi ni vigumu kuelewa nini maana ya ndoa. ukifika wakati wa kuowa hutauliza watu utaowa mwenyewe TU bila kuambiwa.
 
Uongo wanawake wengi wa kuolewa kwa age ndogo wanakuwa hawajielewi ndoa zao nyini hazitoboi
🙄🙄🙄khee labda kijijini kwenu unaweza oa ngurumbembe la miaka 30 na bado akawa hajielewi
 
Hio jamii ya aina gani kwa hio miaka yote wanakuwa wanasugua duduz na mbususu?
Mkuu hivi ndoa za vijana Hawa wa miaka 23 kwa uzoefu wangu huwa hazitoboi wengi wanavutana na kuwekana ndani for the sake ya ngono mwisho wa siku lazima washindwabe maana kilichowaunganisha ni ngono na wengi katika umri huu akili zinakuwa bado sana kuhimili mikiki ya ndoa.
 
🙄🙄🙄khee labda kijijini kwenu unaweza oa ngurumbembe la miaka 30 na bado akawa hajielewi
Utabisha bure lakini ndoa nyingi sana za vijana ambao hawajavuka hata miaka 25 huwa hazidumu mfano ndoa zile za ramadan.
 
Back
Top Bottom