Umri umefikia, natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela

Nimekupa ushauri huo kaka yangu
Unaweza kuuchukua au kutouchukua.
Kama unaona haufai ni sawa tu ila kutengeneza ideas za kutegemea hela ya mwanamke utakuja ulie.
Tafuta pesa zako kwanza
We nawe Dada unaboa na koment zako ni kwamba hujamuelewa brother...kasema anahitaji mwanamke mwenye kipato aoe hajataka pesa zake
 
Mwanamke anafurahi pale anapotetewa na Sera ya ubinafsi...kwa bahati mbay wanaume wa siku hizi nasi hatupo dormant ngoma droo km mnavyotaka 50/50 mwendo mdundo
Ninaonekana nimefurahi RealixT?
Au haihusiani ni comment yangu?
 
Mbona hujasema MWENYE CHURA

alafu hiyo no. 4 hapo kuna wengine wanaishi makaburini shauri yako
 
Unanibania siyo ?

Ngoja niingie chimbo mwenyewee, nitakupa mrejesho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingia chimbo mwenyewe
Na ukimpata ujue huyo alikuwa hajaokoka,ila alikuwa anapretend tu wokovu.
 
We nawe Dada unaboa na koment zako ni kwamba hujamuelewa brother...kasema anahitaji mwanamke mwenye kipato aoe hajataka pesa zake
Kama zimekuboa pambana na hali yako
Tafuteni pesa,msisubiri pesa za wanawake kufanyia mitaji..huo ni udangaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingia chimbo mwenyewe
Na ukimpata ujue huyo alikuwa hajaokoka,ila alikuwa anapretend tu wokovu.
Hakuna aliye okoka duniani ambaye bado anapumua. Acha kutuchezea akili bibie.

Ngoja niingie chimbo.
 
You either need a bank (kwa ajili ya hizo ideas za kudouble kipato) or you need a pimp

Thank me later
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…