Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kitu gani?Ahsante.
Nikuombe kitu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu gani?Ahsante.
Nikuombe kitu ?
Nitafutie binti Mlokole,awe mke wa 4. Nifunge hesabu.Kitu gani?
Hakuna binti mlokole anayeweza kukubali kuwa mke wa 4.Nitafutie binti Mlokole,awe mke wa 4. Nifunge hesabu.
Wewe nitafutie.Hakuna binti mlokole anayeweza kukubali kuwa mke wa 4.
Hayupo hata mmojaWewe nitafutie.
Unanibania siyo ?Hayupo hata mmoja
We nawe Dada unaboa na koment zako ni kwamba hujamuelewa brother...kasema anahitaji mwanamke mwenye kipato aoe hajataka pesa zakeNimekupa ushauri huo kaka yangu
Unaweza kuuchukua au kutouchukua.
Kama unaona haufai ni sawa tu ila kutengeneza ideas za kutegemea hela ya mwanamke utakuja ulie.
Tafuta pesa zako kwanza
Mwanamke anafurahi pale anapotetewa na Sera ya ubinafsi...kwa bahati mbay wanaume wa siku hizi nasi hatupo dormant ngoma droo km mnavyotaka 50/50 mwendo mdundoCrystal clear. Thank you.
Ninaonekana nimefurahi RealixT?Mwanamke anafurahi pale anapotetewa na Sera ya ubinafsi...kwa bahati mbay wanaume wa siku hizi nasi hatupo dormant ngoma droo km mnavyotaka 50/50 mwendo mdundo
Mbona hujasema MWENYE CHURASitaki kupoteza muda maana kichwa cha habari kinajidhihirisha.
Natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela. Najua wapo wa kunipinga na wengine wapo wa kunishauri kuwa eti "nitafute pesa ili nipate mwanamke wa kuheshimu".
Kwa mawazo yangu na ukweli niujuao ni kwamba, "mapenzi hayachagui wala hayabagui".
Natafuta mpenzi mwenye pesa maana kwa idea nilizonazo endapo tu nipata mwanamke mwenye pesa basi nitaongeza kipato chake mara mbili zaidi ya pesa alizonazo. Kama hutaki kuamini basi wewe dada nitafute PM na uwe serious kama nilivyo.
Nahitaji mwanamke wa kuoa maana nipo mpweke sana na nahitaji mtu ambaye tutaishi naye ili kujenga familia na kuwa na watoto kwaajili ya maisha ya baadaye. Natamani kupata mtu ambaye kama atakuwa anawiwa tufanye vitu vya kuishangaza dunia na JF included.
SIFA ZANGU:
Dini: Roman Catholic
ELIMU: Soma mwandiko wangu
Umri: Under 30
Kazi: ......
Kasi ya mapenzi: 1 hour for two goals (I mean Kunyanduana)
Marital status: Single
Kabila: Tutajuana PM
CONTACT: Njoo PM
Quality Intelligence: Tutapima
Mtoto: Sina
Makazi: Tutajuana PM
SIFA ZA MTU NINAYE MHITAJI:
1. AWE NA HELA
2. Kabila lolote
3. Dini yoyote
4. Aishi sehemu yoyote ile duniani
5. Anipende
NB: Kwa yeyote aliye serious naomba aje PM na nipo serious.
Mwisho: Nahitaji mke kutoka moyoni mwangu mbele ya hii public ya watu zaidi ya laki 5.
Naomba kuwasilisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unanibania siyo ?
Ngoja niingie chimbo mwenyewee, nitakupa mrejesho.
Kama zimekuboa pambana na hali yakoWe nawe Dada unaboa na koment zako ni kwamba hujamuelewa brother...kasema anahitaji mwanamke mwenye kipato aoe hajataka pesa zake
Hakuna aliye okoka duniani ambaye bado anapumua. Acha kutuchezea akili bibie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingia chimbo mwenyewe
Na ukimpata ujue huyo alikuwa hajaokoka,ila alikuwa anapretend tu wokovu.
SawaHakuna aliye okoka duniani ambaye bado anapumua. Acha kutuchezea akili bibie.
Ngoja niingie chimbo.
Nimekupa ushauri huo kaka yangu
Unaweza kuuchukua au kutouchukua.
Kama unaona haufai ni sawa tu ila kutengeneza ideas za kutegemea hela ya mwanamke utakuja ulie.
Tafuta pesa zako kwanza
SalamaHabari yako dada ushauri.
Salama
Mzima wewe brother?
Oke [emoji120]Mimi ni mzima kabisa.