Umri unaenda, nachanganyikiwa

Relax
 
Punguza matumiz ya p2 angalau ata mtoto wa kukuzk usikose

Tatzo ukipata ajir utaon umepat ajir
Mwanamke akishapata kazi na pesa hataki kusikia habari ya mwanaume, mifano hai dada zangu wa kichagga waliojipata mapema......

nina dada na watoto wa mjomba wengi wapo over 30 hawana watoto wala hawafikiriii...........laana za kikoloni mbaya sana.
 
miaka 27 bado sana....Ndio kumekucha
 
Great mentality
 
Theist wanamshukuru MUNGU Kwa kuwapa afya na uhai πŸ€” je ambao hawana afya na uhai je wameonewa πŸ˜‚ au ndo MUNGU mpendelevu na muonevu
 
Pale tiiaiesiesi anaweka mtego kijanja kwa wale wataozingatia "27 bila mtoto na sitaki kuwa single maza" waingie pm watoe location.
 
Sijui huwa mnafikiria nini wanaume wengi
Hata mimi nikimtajia mtu umri wangu halafu nikisema sina mtoto anaguna ukichunguza anadhani ushawahi kutoa mimba kitu ambacho sio kweli
Mko wachache ambao hamna watoto ndo maaana ukisema huna mtoto mtu anashangaa
 
 
Unavo sema haupo kwenye commited relationship huwa una maana gani???..... yakubali mahusiano yako na ujue ulikosea wapi??? wanawake baadhi wanapenda maisha ghali ya kukua haraka haraka.
Unaweza ukawa uko serious Ila mwenzako humuoni kwenye huo u serious so unauacha muda iongee kwenye hayo mahusiano
 
nitafute inbox 2yajenge,nipo singo,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…