Kuanzia leo waambie una mchumba tayari ila kwa mila zao haruhusiwi kuja kujitambulisha mpaka kaka yake aoe kwanza.utaolewa lini?? Hili swali silipendi[emoji35]
Wala sina mpango.Kuanzia leo waambie una mchumba tayari ila kwa mila zao haruhusiwi kuja kujitambulisha mpaka kaka yake aoe kwanza.
Wakitaka picha njoo pm niwe nakutumia picha mbalimbali.
Mpango wa kuolewa?Wala sina mpango.
YapMpango wa kuolewa?
Even better. A rebel
Mimi hujibu ukioa au kuolewa wewe inatosha. Hili swali huwa common kwa wanaume sanaTunavumilia hivohivo..hasa wanawake
Nkiulizwa ntaolewa lini,najibu Mungu akipenda.wengine tuna changamoto za kimaisha kiafya zinazotufanya iwe ngumu kuolewa
Na zaidi sifanyi maamuzi kumfurahisha mtu.nafanya moyo wangu ukiwa umeridhia
Mawardat jina nzuri.utaolewa lini?? Hili swali silipendi[emoji35]
pole sana mkuu if you don't mind changamoto gani hiyo all will be wellTunavumilia hivohivo..hasa wanawake
Nkiulizwa ntaolewa lini,najibu Mungu akipenda.wengine tuna changamoto za kimaisha kiafya zinazotufanya iwe ngumu kuolewa
Na zaidi sifanyi maamuzi kumfurahisha mtu.nafanya moyo wangu ukiwa umeridhia
unampango upi sasa mkuu