Umri unapokuwa umeenda na hujaoa au kuolewa unakabiliana vipi na maneno ya jamii inayokuzunguka?

Umri unapokuwa umeenda na hujaoa au kuolewa unakabiliana vipi na maneno ya jamii inayokuzunguka?

Kumekuwepo na maswali Mengi ktk jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile
siku hizi uko wapi?
Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea?
Kama umesoma utaulizwa umeshapata kazi?

Lakini kuna swali moja ambalo wengi wetu tukiuliza huwa hatupendi kuliongelea nalo ni unaowa lini au utaolewa lini ?

Kama upo ktk mahusiano utaulizwa ndoa lini ?????

Ili kukabiliana na hii situations unafanyaje ili uweze kuihandle ndani ya jamii iliyokuzunguka
Ni kufunga tu vio na kutokujibu ndio dawa yao, hayo huwa ni maswali ya kiwaki sana
 
Tunavumilia hivohivo..hasa wanawake
Nkiulizwa ntaolewa lini,najibu Mungu akipenda.wengine tuna changamoto za kimaisha kiafya zinazotufanya iwe ngumu kuolewa
Na zaidi sifanyi maamuzi kumfurahisha mtu.nafanya moyo wangu ukiwa umeridhia
Kwahiyo bado hujaolewa Abigail?
 
Hili swali halijawahi nisumbua

Ila recently limeniingia wazee wangu walipoliuliza 'kimasihara'

Japo walifanya kimasihara tu kama Rikiboy
 
Ukisubiri ndoa utachelewa pata mtoto wako tunza mwenzio atakukuta mbele
 
Back
Top Bottom