Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Why you wanna know?pole sana mkuu if you don't mind changamoto gani hiyo all will be well
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why you wanna know?pole sana mkuu if you don't mind changamoto gani hiyo all will be well
Hahahaa huna adabu weweMimi hujibu ukioa au kuolewa wewe inatosha. Hili swali huwa common kwa wanaume sana
Mkuu kwema?Mimi hujibu ukioa au kuolewa wewe inatosha. Hili swali huwa common kwa wanaume sana
Kwema kabisaMkuu kwema?
Ni kufunga tu vio na kutokujibu ndio dawa yao, hayo huwa ni maswali ya kiwaki sanaKumekuwepo na maswali Mengi ktk jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile
siku hizi uko wapi?
Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea?
Kama umesoma utaulizwa umeshapata kazi?
Lakini kuna swali moja ambalo wengi wetu tukiuliza huwa hatupendi kuliongelea nalo ni unaowa lini au utaolewa lini ?
Kama upo ktk mahusiano utaulizwa ndoa lini ?????
Ili kukabiliana na hii situations unafanyaje ili uweze kuihandle ndani ya jamii iliyokuzunguka
Nilikumisi mkuu.Kwema kabisa
Utaolewa lini mkuu?utaolewa lini?? Hili swali silipendi[emoji35]
Kwahiyo bado hujaolewa Abigail?Tunavumilia hivohivo..hasa wanawake
Nkiulizwa ntaolewa lini,najibu Mungu akipenda.wengine tuna changamoto za kimaisha kiafya zinazotufanya iwe ngumu kuolewa
Na zaidi sifanyi maamuzi kumfurahisha mtu.nafanya moyo wangu ukiwa umeridhia
Kwa hiyo mkuu utaolewa lini[emoji2957][emoji2957]Dah sipendi kuulizwa utaolewa lini, nawajibu wakati sahihi ni wakati wa bwana na ikitokea basi mtasikia na kupewa mualiko,huku nikiwa nimenunaa[emoji23]
Kwani utaolewa lini?😂utaolewa lini?? Hili swali silipendi[emoji35]
Yale yale aargh! Na kadi ya mwaliko hautopata😬😛Kwa hiyo mkuu utaolewa lini[emoji2957][emoji2957]
Siyo lazima unipe wewe..bro wangu Extrovert atanipa kadiYale yale aargh! Na kadi ya mwaliko hautopata[emoji51][emoji14]
Nakwambia hulambi kitu hata umwite broo mimi namwita babe sasa nna nguvu nikiamua hakupi piaSiyo lazima unipe wewe..bro wangu Extrovert atanipa kadi
NdioKwahiyo bado hujaolewa Abigail?
Kwaiyo asahini chini pameziba (hapatumiki ) ? AuDah sipendi kuulizwa utaolewa lini, nawajibu wakati sahihi ni wakati wa bwana na ikitokea basi mtasikia na kupewa mualiko,huku nikiwa nimenunaa😂