Umri unapokuwa umeenda na hujaoa au kuolewa unakabiliana vipi na maneno ya jamii inayokuzunguka?

Umri unapokuwa umeenda na hujaoa au kuolewa unakabiliana vipi na maneno ya jamii inayokuzunguka?

[emoji1787][emoji1787]..comment yako imenikumbusha mbali sn

Enzi hizo shemeji ananiambia 'wewe ni boya Tu kwangu,hata km tumegombana na kakaako Kwa ajili yako lkn Mimi Nina nguvu sn kuliko weewe unayejiafanya Kaka yako,nitamaliza a nae chumbani'

Asubuhi bro akaamka Hana time na Mimi,walishaelewana
😂😂 ndiyo hivo sasa utajuta
 
Swali la utaoa au kuolewa lini ni swali la unyanyapaa linaloingilia uhuru wa mtu.

Mtu asiyekuhusu akikuuliza hivyo, muulize, kwani tulikubaliana kuhusu hilo?

Pengine unaukizwa na watu wa karibu kwa maoenzi mazuri tu, pengine wanatafuta wajukuu.

Kuna siku mtu ambaye kifamilia ninamuheshimu kabisa aliwahi kuniuliza hilo.

Nilimjibu kitu kimoja tu.

"I don't want to talk about that".

Habari nzima ikafikia tamati hapohapo, na yeye akajua sipendi mjadala juu ya jambo hilo, kama kuna habari nitamueleza.

Sasa inategemea na familia yenu ikoje, inawezekana jibu hilo likakubalika, au likaonekana la dharau.

Kwetu lilikubalika nikaachiwa uhuru wangu.
 
Huwa nawajibu nikipata mda mzuri tutazungumzia Hilo swala[emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom