Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada habari ya leo, hebu nichek PM kuhusu ile ishu yako ya mgongo tuzungumze mawili matatuTunavumilia hivohivo..hasa wanawake
Nkiulizwa ntaolewa lini,najibu Mungu akipenda.wengine tuna changamoto za kimaisha kiafya zinazotufanya iwe ngumu kuolewa
Na zaidi sifanyi maamuzi kumfurahisha mtu.nafanya moyo wangu ukiwa umeridhia
Kuna sababu yeyote ya muhimu mrembo?Ndio
IpoKuna sababu yeyote ya muhimu mrembo?
umri wa mamaako?Duh personally napata pressure sana kutoka kwa mother , haniambii direct lakini naona kabisa anataka nioe now .niko na 24 years naelekea kutumiza 25 soon.
umri wa mamaako?
km mzazi wako ni mzee sana ni sahihi kuoa mapema.Umri wa maamangu tena ?sijaelewa swali lako mkuu
Bila shaka utakua ndo first born wake wa kiumeDuh personally napata pressure sana kutoka kwa mother , haniambii direct lakini naona kabisa anataka nioe now .niko na 24 years naelekea kutumiza 25 soon.
Nimewahi mjibu hivi aunty mnoko, akabaki ameduwaa tu hahaaaaNa wewe uwe unawauliza; "Utakufa lini?"
Ni maamuzi yako binafsi , but your very young kufikiria ndoa...Duh personally napata pressure sana kutoka kwa mother , haniambii direct lakini naona kabisa anataka nioe now .niko na 24 years naelekea kutumiza 25 soon.
Unakuwa philosopherKumekuwepo na maswali Mengi katika jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile
siku hizi uko wapi?
Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea?
Kama umesoma utaulizwa umeshapata kazi?
Lakini kuna swali moja ambalo wengi wetu tukiuliza huwa hatupendi kuliongelea nalo ni unaowa lini au utaolewa lini ?
Kama upo katika mahusiano utaulizwa ndoa lini ?
Ili kukabiliana na hii situations unafanyaje ili uweze kuihandle ndani ya jamii iliyokuzunguka.
[emoji1787][emoji1787]..comment yako imenikumbusha mbali snNakwambia hulambi kitu hata umwite broo mimi namwita babe sasa nna nguvu nikiamua hakupi pia