Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
 
Attachments

  • Screenshot_20240412-083741.png
    Screenshot_20240412-083741.png
    85 KB · Views: 3
Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
36?? Huo umri anatembelea "RIM" hawezi kuanzisha uhusiano ilitakiwa max 27 awe ashapata mwenza hapo ni al-shabab.
 
Mwambie awekeze katika kujitambua ili awe na "Sense of who you are"

Kutafuta watu Moja kwa moja ili wawe sehemu ya MAISHA yako hilo tayari ni tatizo inaonekana ukitoa PESA hana kitu chochote cha Ku-offer kinachoongeza value kwa MTU.

Kwa umri wa miaka 36 yrs Anabidi asitazame umri bali atazame udhaifu wake ili usimlemee.

Sense of who you are - ni kuutambua udhaifu wako na uimara wako.

Ikiwa unashindwa kutengeneza relationship yenye intimacy maana yake huo ni udhaifu unabidi kuufanyia kazi.

So mwambie awekeze hapa.

@ Be a Good listener
@ embrace teachability attitude
@ Be a good finder to other people
@ Honest

Mwanamke ni Kama binadamu yeyote yule unachohitaji usitazame material stuffs tu ,Ila jikite pia katika kumuongezea thamani.
 
Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
Mhh labda ana matatizo yake binafsi, ila kwa mwanaume ndoa haijawahi kuwa ngumu. Sema wengi umalaya... unatupomzaga.
 
Back
Top Bottom