Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

Mwambie awekeze katika kujitambua ili awe na "Sense of who you are"

Kutafuta watu Moja kwa moja ili wawe sehemu ya MAISHA yako hilo tayari ni tatizo inaonekana ukitoa PESA hana kitu chochote cha Ku-offer kinachoongeza value kwa MTU.

Kwa umri wa miaka 36 yrs Anabidi asitazame umri bali atazame udhaifu wake ili usimlemee.

Sense of who you are - ni kuutambua udhaifu wako na uimara wako.

Ikiwa unashindwa kutengeneza relationship yenye intimacy maana yake huo ni udhaifu unabidi kuufanyia kazi.

So mwambie awekeze hapa.

@ Be a Good listener
@ embrace teachability attitude
@ Be a good finder to other people
@ Honest

Mwanamke ni Kama binadamu yeyote yule unachohitaji usitazame material stuffs tu ,Ila jikite pia katika kumuongezea thamani.
Solution imepatikana hapa uzi ufungwe
 
Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
Jamaa au wewe .... waswahili wanasema mgonjwa akiwa muongo hupewa dawa sio....... tafadhali ukija kuomba ushauri mambo ya kusema jamaaa yangu wakati ni wewe ndo unakula vibuti na madem

Fanya hivi tafuta hela kwanza kama huna tafuta dem wa hadhi yako watu wa mjini wanasema ligi ndogo oa ....

Achana na madem so ligi zako wanahitaji hela asante
 
Back
Top Bottom