Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
Mkuu,
Vitu vinavyo wafanya watu kuachana vipo vitatu..

1. Financial constraints
2. Ku Differ ( change) in interest among couples
3. In Laws- wakwe na mawifi na mashemeji

Hizi ndizo sabab kuu ajichunguze..
 
Mwambie awekeze katika kujitambua ili awe na "Sense of who you are"

Kutafuta watu Moja kwa moja ili wawe sehemu ya MAISHA yako hilo tayari ni tatizo inaonekana ukitoa PESA Ana kitu chochote cha Ku-offer kinachoongeza value kwa MTU.

Kwa umri wa miaka 36 yrs Anabidi asitazame umri bali atazame udhaifu wake ili usimlemee.

Sense of who you are - ni kuutambua udhaifu wako na uimara wako.

Ikiwa unashindwa kutengeneza relationship yenye intimacy maana yake huo ni udhaifu unabidi kuufanyia kazi.

So mwambie awekeze hapa.

@ Be a Good listener
@ embrace teachability attitude
@ Be a good finder to other people
@ Honest

Mwanamke ni Kama binadamu yeyote yule unachohitaji usitazame material stuffs tu ,Ila jikite pia katika kumuongezea thamani.
Mtoa mada weka kambi hapa
 
Back
Top Bottom