Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Puli mnaisingizia sana yani kila mtu anasema puli hivi mara puli vile yani ni hayo tu.Pole sana kijana wangu.
Bado haujachelewa jaribu kubadili mfumo wako wa maisha hasa ktk nyanja za vyakula, kula vyakula vya asili na vyenye virutubisho vilevile fanya mazoezi kila siku asubuhi na jioni...
Ku ejaculate ndani ya dakika 5 ni hali ambayo ni standard kiafya.
Angesema dakika 1 hapo ndio tungeanza kumjadili labda ni over weight au namna gani.
Kisayansi mtu anayechelewa ku ejaculate zaidi ya dakika 30 wanasema moja ya sababu ni eidha demu huyo ni mbaya yani hakuvutii au umetumia madawa.
Nafasi ndogo sana inaangukia kwenye hali ya asili yani kuzaliwa ukiwa hivyo.