Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

Kama ni kweli nicheki PM nitakupa dawa itakayokusaidia ila hii utachangia hela sio bure, Hii ni ya kweli ila kama ulishawahi kutuia dawa za Kisasa sanainawezaisikupe matokeo.

Ila inachukua muda si chini ya siku kumi na nne kuonyesha amtokeo na baadae itakua ndio mfumo wako wa maisha kama ilivyo chumvi au mafuta kila asubuhi utakuwa unaitumia kwa kuichanganya kwenye chai au kahawa.

Inauzwa na mzee wangu ila mimi nitakudalalia hivyo uwe tayari kwa hilo.
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
nichek inbox naijua dawa mkuu nikusaidie
 
Asili ya tendo lenyewe ni kwaajiri ya kuzaliana so hata hizo dk 5 ni anasa sana kaka.

Starehe ziko nyingi duniani, so kama unataka hayo mambo yawe kama starehe kwako achana nayo nenda katafute starehe nyingine ishi huko.

Usijipe stress kwa vitu ambavyo asili inapingana na jinsi vinavyotafsiriwa kwa jamii.
 
Anayetoa pesa kati ya wapenzi 2 ndiye anapaswa kuridhishwa. Akiridhika anayetoa pesa hapo hakuna tatizo.
Kama wewe ndiye unahongwa jitahidi umridhishe mwenzako
 
Kwanza pole na huo mtihani,pili sababu Nyeto ndio iliokumaliza ivo achana na nyeto. fanya mazoezi asbh atlist nusu saa u lisaa kuweka mwil sawa sababu iyo haina mfupa iyo c unajua ni misuli
 
Boss

Wewe una tatizo la kisaikolojia zaidi,kwanza umecbekiwa hospital na kuonekana upo fresh tu

Niamini mimi na wengine wote waliosema una tatizo la kisaikolojia,je kabla ya tendo huwi na hofu kwamba uume utalala kama awali?

Huwi na hofu kwamba utamkwaza.mwenza wako tena kama awali?

Je huwi na hofu kwamba utaumbuka tena kwa uume kulala kama awali na kutaka kuuchomeka mapema kabla hujalala?

Naomba majibu yako kwanza
 
Kuna mambo mengi haujaelezea kama vile historia ya tatizo, je ulikuwa hivyo tangu zamani au imetokea wakati huu?

Una mahusiano na watu wangapi je na huko inakuwa hivyo? Uzito wako kilo ngapi, unaona uko katika uzito sahihi?

Kazi zako na michakato yako inakupa muda wa kutosha kupumzika? Kama umeoa mke unampenda au ilibidi tu?

Lishe yako vipi, unaweza kusema unakula vyakula vya aina gani zaidi, je ni mlo sawia/kamili(balanced diet).

Una historia ya magonjwa au ugonjwa unaoshambulia njia ya hewa? Unatumia bidhaa kama pombe,sigara au dawa?

Mi nakushauri yafuatayo kabla ya dawa;
Kunywa maji ya kutosha, sio mengi sana wala kidogo sana kulingana na uwezo wako, achana na sayansi za lita tano kwa siku. HAIFAI.​
Loweka karanga mbichi kiganja kimoja katika maji kwa muda wa nusu saa mpaka lisaa kisha tafuna mpa umalize, hili fanya kabla ya kifungua kinywa au kabla ya chakula cha mchana, HAPA TUNAREKEBISHA PROTINI NA NISHATI UTAKUWA UNAJISKIA HAUCHOKI KIRAHISI HATA KATIKA SHUGHULI ZA KAWAIDA.​
PUNGUZA VYAKULA VYA MAFUTA, SUKARI NA BIDHAA ZA SUKARI, chai ya sukari nyingi,soda, bia.​
Ukiamka asubuhi kojoa kwa mafungu matatu mpaka manne, yani kojoaa halfu kata mkojo bila kubana tumbo wala sehemu ya haja kubwa(hapa ni pagumu kidogo, jitahidi yani usibane sana sehemu ya haja kubwa) hapa ni kama unakuwa gym ya uume​
Wakati huu ukijirekebisha fanya tendo mara moja kwa siku tano.​
Siku moja kabla ya game loweka mdalasini katika maji ya kunywa glasi moja.​
Siku au wakati wa game usishibe sana, tumia ndizi mbivu mbili piga game, kisha kula nyingine mbili wakati wa breki. Tumia muda mwingi kucheza cheza na mwenzako.​
Ziada penda kula ndizi mbivu, tikiti maji, mara kadhaa jioni kunywa kahawa kikombe kimoja​
 
Mimi nakushauri fanya mazoezi,, kula vyakula asili kama mihogo mibichi,Nazi karanga na Supu ya mweza bila kusahau Tikiti maji. Mazoezi na vyakula ni tiba. Mbona upo fresh tu jiamini una uwezo
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
Mganga wako yuko huku 👇

 
Acha nyeto, fanya zoezi, acha pupa na wasiwasi ukiwa na dem ghetto! upe mjulubege zoezi la kegeli
 
Pole sana mkuu jaribu kufanya vipimo ili ugundue chanzo cha tatizo sasa hivi kuna magonjwa kama kisukari,pressure huwa ni chanzo kikubwa cha kilegeza nguvu za kiume.Lakini pia inabidi uwe mtu wa mazoezi na kula vyakula vya asili.
 
Back
Top Bottom