Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania


Archaeology ni branch la Anthropology. Pia nilipokuambia fahamu anthropology ni kwa sababu ya non cultural diversity uliyoishikilia na sio kuhusu kusomea.

PS: Pia soma comment zilizopita nilikupatia na Sources kupitia kitabu. I think hujaisoma. (Comment namba 46)

I think niishie hapa. You can view unavyoamua kuona and I respect that.
 

Sahihi sana mkuu [emoji818]
 
Mbona 50% ya maneno ya Kiswahili ni ya Kiarabu likiweno neno "Swahili"?
Acha urongo wewe... Me natumia Decoder ya CTV kuna channel kama 15 hivi za kiarabu ukisikiliza cha zaidi utasikia Sifuri,Shekran,Saba,Al-khamis,sub - Kheli ,Walakini, Raisi, Waziri,Tasmini, Magharibi,Wakati,Hamsini,Isha,IShirini,Themanini,Sabini,Tisini wao huitamka Tisaini na maneno yakubahatisha kwenye mpira wakitangaza ndio zero% mambo ya kusema ati ni 50% wewe ni jipu...

Wakusanye Watoto wako uwapumbaze hadi wakue wakiamini Kiswahili ni 50% ya Kiarabu.. Naomba utuandikie Maneno mia tu ambayo kwa kiarabu ni sawa sawa na Kiswahili... nikupe Zawadi achana na hiyo 50% na ukikaa kimya usichangie kabisa vitu usivyovifanyia utafiti...
 
Ni kweli mkuu, nilikuwa Cairo na niliweza kupata mahitaji yangu dukani kwa kuongea Kiswahili na wenyeji kuongea Kiarabu, maneno mengi yanaingiliana. Lakini si vibaya kuweka Kiarabu kama somo mashuleni kwa watakaopenda kama vile ilivyo Kifaransa.
Hakika wewe ni Muongo...
 
Tena kaweka asilimia ndogo sana, mimi nasema ni zaidi ya hiyo 50%.
 
Tena kaweka asilimia ndogo sana, mimi nasema ni zaidi ya hiyo 50%.
Why uandikie mate wakati Wino Unao.... Kwenye Hoja ama Hizo me huwa sibabaishwi bila Mifano... wekea uhai hoja yako maana me katika kumjibu nimeweka mifano hai wewe umejibu kiporojo zaidi na hujaonesha kitu kwa faida ya watu na wengine wasiwe wanachukua tu maneno ya watu huku hawana Evidence... ya mifano hai maana najua huyo jamaa karopoka tu na hana analolijua zaidi ya kuokoteza maneno ya mtu kama wewe maana siku nyingine ataongeza percent na hana uhakika...
Weka List tuende Sawa... Napenda Ubishi wa Kuelimika na sio Porojo..
Mimi nimeweka zangu wewe Ongeza Zako zaidi tafuta kote kwenye Google vitabu n.k am sure Hatuzungumzii dini tushindwe kuleta evidence..
 
Waarabu wenyewe wanajitahidi wajivunze kiingereza sisi ndo tunataka tuchukue lugha yao kweli tz vul.za wengi
Wanajitahidi wajifunze Kiingereza siyo kwa maana ya waache lugha zao. Mbona Yuropa watoto husoma lugha tatu au nne. Lugha yao, na wanaongezea na nyingine zinazozungumzwa huko.
 
Waaaarabu? wale waliowahasi babu zetu...mashraf Habib..ntajifunza harka iyo lugha ili siku navolipa kisasi wawe wanajua naongelea nani
 
Hao ulituandikia ndo wale wasemao binaadamu wa kwanza alikuwa nyani tena ,ndo hao hao wanaozungumza utumwa wa waarabu ndo hao hao leo wanakuletea ushoga ,tuondoleeni hadithi za abunuasi hapa
 
Ndio mnachowaza haya mjilipuege mabomu mpaka muuishe yani Ugaidi u dominate dunia?
Nehi karonga
 
Ba
Suicide bombing
Wee jitoe ufahamu, baki na umbumbumbu wako !! Since day one WAARABU tumeiBARIKI nchi hii kwa LUGHA MAMA, USTAARABU (Arabian Civiliztions ), AMANI, UUNGANISHI WA MAKABILA kwa lahaja moja "Salaam Aleykum" na pia majina ya miji yote (DAR-ES-SALAAM-MTWARA-TANGA-KIGHOMA-ARUSHA-TABORA-SINGHIDA-ZANZIBAR-KILWA-MAFIA-KIL~MANJAA~ARO, MUSSOMA,KIBAHA ,BAGA~MOYO,nk nk..

Tazama artitecture design za waarabu (majengo ya kama ikulu/Ocean road Hospital, majengo nk nk) !!! Pamoja na kutaifishiwa mashamba,Viwanda,maghorofa na mhospitali.... Bado wasema uwekezaji gani.. Nguruwe wee/shwaein ngedere wa chooni !!

Long live SS Bakhressa kuweza sambaza bidhaa zake na kuajiri wazawa.... (huyo mmoja tu)

chuki na husda zimekutawala....[/QUOTE]

Bangii mbaya zamiluni hahahaha
Umenifurahisha ukanihuzunisha

Kwa porojo/uwongo wako
Kweli waarabu walihasi hadi vichwa vya watu
 
Mtoa hoja hebu fikiria tena mara mbili kuhusu uliyoyaandika....huoni kwamba ingekuwa busara kwa wao kujifunza Kiswahili wanapokuja nchini kwetu?
Tukikubaliana na wewe sijui tutakuwa Taifa la aina gani...Tuna wawekezaji wa kichina...basi tungetakiwa kujifunza kichina?Wawekezaji wa Ki South...Afrikaanse.....Wataliano wenye mahoteli kule Zenji....Kitaliano....Dangote kule Mtwara....wajifunze Ibo???Samahani lakini ....Umeandika UTUMBO..
 
Wanajitahidi wajifunze Kiingereza siyo kwa maana ya waache lugha zao. Mbona Yuropa watoto husoma lugha tatu au nne. Lugha yao, na wanaongezea na nyingine zinazozungumzwa huko.
Sijaongelea suala LA kuacha lugha yao ila wao pia wanajua umuhimu wa lugha ya kiingereza kwa ulimwengu huu.
 
Achaneni na kiarabu Kifaransa au kitaliano labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…