Umuhimu wa kukaa ghetto

Umuhimu wa kukaa ghetto

Hii kitu ina umhimu wake aisee, natamani siku moja nipange room, nianze kujitegemea, kikubwa room yangu sitaki ikose Pad na Tv kwa ajili ya game, yaani game kwa kwenda mbele.

Mbali na uchumi kwangu kua mgumu, kitu inayonikimbiza kupanga, ni kupika kupika so kazi ya kitoto aisee, alafu kuna na kudeki unaweza ukavunjika ata uti wa mgongo kisa kuinama inama asubui.

mambo ya kufagia, sasa apo ndo tutamalizana na majirani.

alafu uzuri wa geto nasikia ua kuna watu wanatafunwa kama mihogo, wakuu wekeni wazi usumbufu ulioko geto, raha za geto, pamoja na mihangaiko,
Ukimaliza kula kasaidiane na Dada kuosha vyombo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mi sio marioo
Mario inahusikaje hapo? Uko nyumban mama anakutuma kitu utakataa?
Hata akikwambia nenda gengen kalete vitunguu swaumu utakwenda tu
 
dah mzee unaniombea mazuri kinyama, ntatulia usiwaze ila tatizo ni kudeki, na kupika na kuoa sitaki kabisa ata kusikia
mimi naenda mwaka wa pili huu nakula kwa mama ntilie.....usafi utafanya tu mwenyewe utajishtukia geto chafu ngoja nifagie
 
Gheto kuna kitanda, feni ya kishkaji , sabufa, desktop jiko la gas na vyombo tu vichache sina makoro koro mengi mkuu
Makoro koro mengi miyeyusho, mi na Tanfomu yangu inch nane tano Kwa sita, na kitanda cha mninga, sabufa kama kawa na laptop yangu matata, zuria si la nchi hii , mapazia ya kibishoo, jiko la gas, Diaba na ndoo kadhaa, na vyombo vya kiaina, kila mtoto wa kike akiingia anatamani kuvua chupi, nami natenda haki ipasavyo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah we jamaa saa utavua wangapi man
Makoro koro mengi miyeyusho, mi na Tanfomu yangu inch nane tano Kwa sita, na kitanda cha mninga, sabufa kama kawa na laptop yangu matata, zuria si la nchi hii , mapazia ya kibishoo, jiko la gas, Diaba na ndoo kadhaa, na vyombo vya kiaina, kila mtoto wa kike akiingia anatamani kuvua chupi, nami natenda haki ipasavyo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], dah saivi nshaopoa kingne, ila bado kinaniiita mdg wake, ila nshasema hachomoki, aisee kuna mtoto mmja ni mkali balaa.

Mara ya kwanza nlimuita nkasema namjua, akakataa alafu akasepa, akawa ananichomolea, nlkua naumia kmoyo moyo, nkamchunia kwanza, juzi juzi, tu apa tumekaa karbu nkawa napga story na dem mwngne,

mara ghafla akasogea, bas tukaanza kupuga story ,za harmonize na wcb, mara nkamdownloadia cover za never give up.

mara akaanfusha no. story hazikauki, sa iv ananiita damu yake, alafu nampa ushauri bas anais kapata, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], kumbe baharua nmelenga shimo, lazma nmsukie uzi
Junior hebu Nipe yule mwenzako uliekuwa nae kwenye usaili ambae ulisema ni mzuri kinyama
 
Back
Top Bottom